Thamani ya vikosi vya wachezaji katika timu mbalimbali Ulaya?

Montserrat

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
10,938
Reaction score
14,745
Ni timu inayoongoza kwa kuwa na kikosi chenye thamani kubwa duniani. Thamani ya Kikosi cha Manchster City in USD 1020m Inafuatiwa na PSG na Man United ni tatu. Orodha kamaili ni kama ifuatavyo:

CLUB (COUNTRY) COST (EUROS )​
  1. Manchester City (England) 853m​
  2. Paris St-Germain (France) 850m​
  3. Manchester United (England) 784m​
  4. Chelsea (England) 644m​
  5. Barcelona (Spain) 628m​
  6. Real Madrid (Spain) 497m​
  7. Juventus (Italy) 470m​
  8. Liverpool (England) 437m​
  9. Arsenal (England) 416m​
  10. Tottenham (England) 361m​
Swali, Is it true that having the most expensive squad justifies the performance? Nina mashaka​

  • Source: CIES Football Observatory
 
Thamani ya wachezaji haiakisi ubora Wa kikosi uwanjani ukiangalia kuna timu ina kikosi chenye thamani ndogo lakini bado performance ya uwanjani ni kubwa kuliko hata team zenye wachezaji wenye thamani kubwa

eliamini
 
Zote hizo zinafanya vizuri kikosi chenye thamani lazima kilete matunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…