Thank god I am back

welcome back nyau.
ple kwa maumivi,fuata masharti upone!

Nashukuru cheusi kwa pole zako nami naahidi kufuata masharti yote ila kuna sharti moja ndio linanitatiza kwa ugumu wake lakini mengine yote hayana tatizo.
 
Nashukuru cheusi kwa pole zako nami naahidi kufuata masharti yote ila kuna sharti moja ndio linanitatiza kwa ugumu wake lakini mengine yote hayana tatizo.

Pole sana kiongozi!
 
nilijiuliza sana namiss nini kumbe ni wewe....aaah....karibu bana.....pole na maumivu.....nije niwe nakubeba?

Oooh,thanks mamii Preta for beautiful message I really missed your coments and today for this coment I dedicate the song"Nipe mgongo"
 
Nashukuru cheusi kwa pole zako nami naahidi kufuata masharti yote ila kuna sharti moja ndio linanitatiza kwa ugumu wake lakini mengine yote hayana tatizo.

sitaki kukusumbua mgonjwa kwa kuuliza ni sharti gani hilo lkn ntakuombea uweze kulifuata.
 
pole sana mkuu and welcome back.cha msingi zaidi ni kuhakikisha chanzo kilichosababisha hayo maumivu hakijirudii wakati huu wa matibabu na hapo baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…