Thank God I got Employment recently, now I'm looking for Fiancee

Hiyo lugha ya watu unaiharibu, bora ungeandika kingoni tu

Jesus is Lord
 
Kuna English halafu kuna kinglethaaaa kama cha mtoa mada
Kazi ipo…
 
Elimu dunia hiv ndo nn hiki huwa siielew nieleweshe tafadhal
 
I get employment recently= I have got...
God please give them hope patients and prisoners=Please God give patients and prisoners hope....
Now I need fiance= now I need a fiancee.....

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
I get employment recently= I have got...
God please give them hope patients and prisoners=Please God give patients and prisoners hope....
Now I need fiance= now I need a fiancee.....

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile ap
Sawa sema Mwanamke nimepata tiyari Mkuu she has only 17 years so wait to hear Feedback
 
Watu Mpo depressed Sana hapa JF nimeani
 
Kuna English halafu kuna kinglethaaaa kama cha mtoa mada
Kazi ipo…
Mnachekesha nyie Mm Mwenzio nimesomea Uganda sasa unataka kusema sijui English hizo depressed zitawaua Nakuambia .
 
Watu Mpo depressed Sana hapa JF nimeani
Watu wanakushitua usijeenda sibika mbele ya totoz. Imagine hayo ulivyoandika ndio unamweleza mtoto live, alafu ukute shule alikuwa anenda na breakfast mgongoni
 
Hahah, we jamaa hebu tumia kiswahili mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…