Kichwa kilitakiwa kiwe "Thank god I got employed recently, now I'm looking for a fiancée."
Alafu mkuu "fiancé" ni kidume yaani inamaanisha mchumba wa kiume na inatumika kwa mwanaume pekee na fiancée ndio inamaanisha mchumba wa kike sasa wewe umechanganya mafaili hapo.
Siku ukienda kwenye nchi za watu utajichanganya bure.