Thank them all

hivi nisaidieni, kuna tatizo gani kuanzisha 4? Kumbe hii forum inataga threads automatically!!!! usiniharibie siku.

muacheni aanzishe hata 100,mi napenda thread zake,as long as zina point mi sina shida nae...endelea Girlie!!!

me like your threads....especially this one,imenikumbusha nyuma na imenisaidia ku-reflect mengi na kukubali tu kwamba,everything happens for a reason.......we should be grateful and make sure whatever happens to us,makes us better!!!
 
sikuiona hiyo katika rules! na thread 5 maudhui tofauti, au mna uhaba wa *seva?*

haipo kwa rules,nafikiri maana ya Lizzy ni tujadili moja then uweke nyingine.....usiwe mkali,yuko hapa tangu 2009,anajua asemalo Girlie!!!
 
haipo kwa rules,nafikiri maana ya Lizzy ni tujadili moja then uweke nyingine.....usiwe mkali,yuko hapa tangu 2009,anajua asemalo Girlie!!!

@Michelle asante kwa maneno yako but some do not use polite languages, I could be new @JF but I have been on *No-Ads Special* Free Forums - FreeForums.org - Create a free forum in minutes! for years. Im here to see local forum, if its like this....duh!

halafu kama ni advice, send a different message; mnaharibu flow nzima.....humo humo watu wachangie.....humo humo washauri nasaha
sorry
 

i understand,ila usiwe mkali,its not personal ni kukuweka tu sawa...ili uzoee Jamiiforum,kila sehemu pana taratibu zake my dear....unataka tukitaka kukurekebisha tutume PM? sawa tu,ni vizuri kweli hapa tubaki kwenye hoja tu!!!:hand::hand:
 
i understand,ila usiwe mkali,its not personal ni kukuweka tu sawa...ili uzoee Jamiiforum,kila sehemu pana taratibu zake my dear....unataka tukitaka kukurekebisha tutume PM? sawa tu,ni vizuri kweli hapa tubaki kwenye hoja tu!!!:hand::hand:

Tuendelee na hoja, nimejifunza kuwa humu kila mtu ni moderator!!!!!
 
Tuendelee na hoja, nimejifunza kuwa humu kila mtu ni moderator!!!!!

Girlie... Habari Dada....
Post Nzuri Sana Lakini Umesema Lets Thanks Them All..., Alafu wewe umetoa Thanks 2 Tu.. Ebu anza kuonyesha mfano kwa kutoa Thanks

By the Way Lizzy She is The one Of the Nicest Girls in JF... utaniambia tu baada ya kuspend a few months.. take my word for it

Karibu Jamvini...
 

I love them all....you, Lizzy, Michelle, nk.
usijali nitaanza kutoa thanks nikianzia kwako vor
 
Even the nicest of people are not perceived that way by everyone!Thanx nwy!
 
girlie girlie umefanana na lulu msanii wa filamu,ni wewe?
 

Karibu na huku mama,
Utaelewa tu, mambo ya nyumba hii nayo,
Wala usijali, utafurahia tu, lakini kumbuka kila sehemu,
kuna culture yake yaweza kuwa nzuri au mbaya,
lakini ukishawazoea unawarekebisha wakikuelewa sawa,
wasipokuelewa ni sawa pia, maisha lazima yaendelee!!
 

nimekusoma
 

Like this!karibu mwanakwetu.
 
Haya,back to topic....
Naona mmeshafanya u-mod wa kutosha.
Mimi i do care about you people of God a lot
 
Asante mamy kwa katungo kako katamu kama asikilimu:rain::rain:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…