Thank to webcam.

Aisee kama huyo ni wewe, inabidi nizime webcam yangu.... arggghhhhh
 
Kivpi sasa?
Ebu weka literature kidogo Mkuu hapo!
Jamaa aliiacha ON ikamdhalilisha nini?
 
Kivpi sasa?
Ebu weka literature kidogo Mkuu hapo!
Jamaa aliiacha ON ikamdhalilisha nini?

Hapana Mkuu hapo alikuwa ana chat na Mpenzi wake aliye kutana nae online .
 
iko kazi jamani hii ndo mambo ya utandawazi 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…