Thank You Cocacola I am Humbled !

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400


- Kampuni ya Cocacola hivi kuanzia leo imeanza kutoa heshima kwa all Super Stars wa Tanzania ambao wana ushawishi mkubwa katika jamii kwa kuwatengenezea makomo maalum ya Soda zao ambayo yataanza kuuzwa madukani hivi karibuni.

Ma Star wengi leo wamekabishiwa rasmi makopo hayo yenye majina yao ambayo ni mfano wa makopo ya soda zitakazoanza kuuzwa madukani hivi karibuni, baadhi ya Ma Star waliopewa makopo hayo leo ni pamoja na Mshindi wa Big Brother Idriss, Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Martin Kadinda na Le Mutuz Nation.

- Naomba again kuwashukuru sana wapenzi wangu wengi hasa wa hapa JF haya yasingewezekana bila ya nyinyi and I mean it nawashukuru sana from the bottom of my soul, thank you JF hasa Celebrity Forum na I am humbled sana!!

Le Mutuz
 
Tehe tehe thanx God sinywi Coke. Siwezi kutangaza ukameruni.
 
Duh hili jamaa kumbe super nini wapi?
 
Tehe tehe thanx God sinywi Coke. Siwezi kutangaza ukameruni.

- Kumbe ndio tabia zako duh!! bila kuulizwa mtumzima inaongelewa Cocacola wewe unajivua nguo mwenyewe na tabia zako duh inatisha asieee

Le Mutuz
 
Duh! Ukishangaa ya Le Mutuz utaona ya Amedy Coulibaly!

- Tuliza boli kubali yaishe hawa ni cocacola sio kampuni ya Togwa kule kwenu, hawa ana kitengo cha utafiiti hii practice imeanzia UK na USA na sasa imefika bongo wamefanya utafiiti ukaonyesha I am The King of All Bongo Social Media sasa wewe unabakia kugugumia na bado utanisoma sana si niliwaambia mtanisoma tu mpaka muingie kaburini mazafantazzz hahahaha

Le Mutuz
 
labda ndo inaanza bongo but nchi zingine tangu world cup,ni kawaida chupa za coca kuwa na picha za wachezaji wa taifa
 

Mkuu, the Ubungezz the Afrika Masharikizz, u know! Gombea tena u know!! Utapatazzz U know!
 
Naliona anguko la cocacola hapa..... lemutuz aka lembululazzzzz mmmmmh!!!!
Sinywi na will go tell others to NOT TAKE!!! bhahaaaàhaaaa!
 
Naliona anguko la cocacola hapa..... lemutuz aka lembululazzzzz mmmmmh!!!!
Sinywi na will go tell others to NOT TAKE!!! bhahaaaàhaaaa!

dua la kuku hilo kijana wivu siyo mzuri ila wema sepetu the teh mwacheni lemburuzz afanye yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…