Thank you for this very banful post

Thank you for this very banful post

Pole sana kwa ban ulopata mkuu!
Ulifanya nini?

Mkuu Kavu Kuti,we acha tu!
Ni ile wiki ya kuchoma makanisa ilinitia hasira nikawa nimetamka maneno makali dhidi ya dini ya kiislamu;mods wakaamua kunipumzisha kwenye server zao!!
 
Last edited by a moderator:
Karibu Kamwela, ghwandaghe mughanga, tulipo sebho, ubhonekaghe shindembwa!
 
Dah.....kumbe ulikuwa na ban! Pole sana, karibu tena tuliendeleze gurudumu la jf.
 
Hata mimi hilo janga lilinikumba,kifungo kibaya we acha tu kisikie kwa mwenzio
 
Back
Top Bottom