Dear jf members!
I'm lookng for job,wether its permanent,temporary or volunteer. Bsc.Usimamizi wanyama pori ndo my career.
Natanguliza shukran zngu za dhati kwa kejeli(jokers)zote ztakazojitokeza na wale ambao mtatoa ushauri mzur!
ndugu unakuwaga wapi mbona hizo nafasi kila cku utumishi wanatangaza na wamerudia tena kwa maana ya kuwa watu hamna sasa wewe inakuwaje tena tatizo nini au huna cheti