Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400
- Jamani heshima mbele sana, naomba kuwashukuru sana Jamiiforums I mean JF nimetoka nayo mbali sana na imenifikisha mbali sana na wala sio siri leo ninafahamika kila kona ya Tanzania kwa sababu ya kuanzia hapa JF, nilianza kwa majina ya bandia nikawa maarufu sana and then nikaamua kujitoa mwenyewe kama nilivyo na kuendelea kuwa maarufu, umaaurufu ambao kwa sasa unanilipa sana big time hapa mjini, sasa Mungu anasema ni muhimu sana kukumbuka ulipotokea ndio maana ndugu zangu nawapa shukrani zangu na leo nitaichangia JF Shillingi 200,000.00 za bongo.

- Again najua kwamba wengi wetu hapa tuna itikadi tofauti na sometimes tunakwaruzana sana, lakini najua kwamba wote tuna nia njema sana ya kulisimamia taifa letu, again naomba kuwaomba ,msamaha wale wote ambao nimewahi kuwakwaza kwa maneno yangu na nawasamehe wale wote walionikwaza ingawa mwendo ni ule ule tu, lakini again naomba kutoa heshima yangu kwa JF kwamba bila you JF nisingekuwa Le Mutuz making big bucks from online business najua wengi hivi karibuni wamekuwa wakiniombea kuwa Bilionea nawaahidi kwamba in 2 years tu nitakuwa kwa sababu nipo kwenye the right tracks.

MUNGU AIJALIE JF THIS IS MY HOME NA THIS IS MY BASE ALWAYS!! AND LUV YAH ALL!1

Le Mutuz Big Show
 
You know!!! Bongo tambararezzz ......Le Mutuz Big Show .....ha! ha! ha! ha! ....

Btw binafsi kipindi unatumia ile ID yako ya kushushia Nondoz ulikuwa moja ya Manguli wa humu niliokuwa nawakubali ile mbaya.....bado naamini uko vizuri maana sometimes ukirudi kwa mlango ule wa sauti ya umeme huwezi amini kama ndio huyu jamaa aliyeharibu jina lake majuzi kwa post za chini ya kiwango......otherwise naamini kuelekea 2015 utarudi kwenye ile status iliyokuwa na mchango mkubwa Kitaifa ........:cool2:
 
- Sijawahi kutoka JF ila kwa sababu nimewekeza sana kwenye mitandao na chimbuko langu la umaarufu ni hapa I had to play that through mind manipulations ili kuongeza umaarufu wangu mitandaoni kwa mfano nilipokuwa ninaelekea kuanzisha blog yangu I had to use this place a lot through manipulations kuwavuta visitors from here and it worked that is all, otherwise nimetoka na mbali sana na this thing kuanzia na majina ya bandia mpaka leo I am me here so please lets go na I hope kuna watakajifunza kwamba unaweza kuitumia mitandao ya kijamii kwa manufaa yako zaidi ukitumia sana akili.

Le Mutuz
 
Umeamua kuchangia,basi sawa ndugu le mutuz.nitaanza kutembelea na blog yako but uache kupost utoto+udaku!
 
You know!!! Bongo tambararezzz ......Le Mutuz Big Show .....ha! ha! ha! ha! ....

Btw binafsi kipindi unatumia ile ID yako ya kushushia Nondoz ulikuwa moja ya Manguli wa humu niliokuwa nawakubali ile mbaya.....bado naamini uko vizuri maana sometimes ukirudi kwa mlango ule wa sauti ya umeme huwezi amini kama ndio huyu jamaa aliyeharibu jina lake majuzi kwa post za chini ya kiwango......otherwise naamini kuelekea 2015 utarudi kwenye ile status iliyokuwa na mchango mkubwa Kitaifa ........:cool2:

- Hapana I am fine kuna wakati nilidhani Wapinzani wapo serious hasa nikiwa nje, pamoja na mimi kuanzisha tawi la kwanza la CCM New York City, bado nilikuwa naikosoa sana CCM lakini baada ya kurudi hapa ndio nikaujua ukweli wa kila kitu kwamba Wapinzani sio wakweli kama wanavyojitangaza ndio maana nikaamua kujikita kwenye kukirekebisha chama changu zaidi kwa ndani kuliko in the public kama nilivyokuwa nafanya zamani, kwa kufanya vile ndio ukaona michango yangu imeenda chini ni kwa sababu ya kuonyesha big support kwa chama changu so it ok ina maana ninafanya kazi njema sana na guess what Chama changu hatimaye kimeutambua mchango wangu hapa na kunipa heshima ninayostahili.

Le Mutuz
 
Umeamua kuchangia,basi sawa ndugu le mutuz.nitaanza kutembelea na blog yako but uache kupost utoto+udaku!

- Kabla ya kuandika maneno kama haya muwe mnafanya utafiti kwanza hivi unajua kwenye blog ikiwekwa habari za kufunguliwa Chuo Kikuu wanapitia wananchi 5 tu in 30 minutes ila ukiweka Wema Sepetu hajalala usingizi wanapitia WATU LAKI MOJA in 30 minutes, sasa niambie mwenye makosa hapo ni nani kwa haya mawazo yako?

Le Mutuz
 
Mokoyo, - No way nimetoa shukrani tu kwa chombo kilichonifkisha nilipo in one way so nipo sana kama kawa!!

Le Mutuz
 
Last edited by a moderator:
Unajulikana kila kona ya Tanzania?? Unafikiri Tanzania inaishia Mwenge nini? Huku Simiyu hata hatujui kwamba kuna mtu kama wewe!!

- Ukiwa na nafasi njoo ofisini hapa downtown hifadhi House gorofa ya 9 niulizie nikuonyeshe namba za blog yangu wanaoingia kutokea Siminyu labda ndio utaelewa kwa nini ninfahamika bongo nzima, ok!!

Le Mutuz
 
G Sam, - Honestly siku hizi ndio nina akili zaidi maana then nilikuwa naandika bure siku hizi I get paid for!!

Le Mutuz
 
Last edited by a moderator:
- Kabla ya kuandika maneno kama haya muwe mnafanya utafiti kwanza hivi unajua kwenye blog ikiwekwa habari za kufunguliwa Chuo Kikuu wanapitia wananchi 5 tu in 30 minutes ila ukiweka Wema Sepetu hajalala usingizi wanapitia WATU LAKI MOJA in 30 minutes, sasa niambie mwenye makosa hapo ni nani kwa haya mawazo yako?

Le Mutuz

tupe jina la blog yako mkuu..
 
- Ukiwa na nafasi njoo ofisini hapa downtown hifadhi House gorofa ya 9 niulizie nikuonyeshe namba za blog yangu wanaoingia kutokea Siminyu labda ndio utaelewa kwa nini ninfahamika bongo nzima, ok!!

Le Mutuz
Hata mimi nipo Simiyu but nimetoka Dar jana.
 
Ni kweli umetoka mbali na JF na ni miaka mingi, lakini pamoja na miaka mingi naona kama akili bado na utoto you know!
punguza uke utoto wako wa instagram mkuu....hata unaposema umetoka mbali na JF basi ionekane ulikuwa unakuwa mwili na akili!
 
Mkuu Willy haitakuwa mbay kama ukiweka hadhran hayo 'majina bandia' mengine uliyo anza nayo humu JF!
 
Back
Top Bottom