Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

In two years utakuwa bilione? Sasa hawa wakina Maxence Melo waliopo kwenye game miaka mingi kabla yako sijui ni matrlionea sasa?

- Max is my great friend tumetoka mbali sana na this game he is a koolest kid I know ametulia hana papapara this machine JF is big hana sababu ya kupiga kelele kama mimi kwa sababu as far as numbers anazo hapa mimi bado natafuta numbers ndio maana lazima nipige kelele kwa step ndio maana nimeamua kuyafanya haya leo ni strategies tu,

- Otherwise ninaamini in 2 years nitakuwa Billionea bila shaka cause nipo kwenye the right times, the right people around me na the right place too!!

Le Mutuz
 
Ustaa wako unatokana na mshua wako

- Kuna watoto chungunzima wa Viongozi hapa mjini watu hawataki hata kuwaona licha ya kuwasikia, sikatai jina lilikuwepo limenipa 25% milage na ninamshukuru my Dad kila siku kwa kazi kubwa aliyoifanya in his life kujenga jina kubwa ila the rest I mean 75% nimeifanya mwenyewe especially on this part ya my investment kwenye mitandao maana anayebeba matusi hapa ni mimi sio yeye na ni matusi hayo hayo ndio yameishia kunilipa big time leo nimelipwa my check na vodacom kwa kazi ninazowafanyia kwenye mitandao inakuwa kama ndoto vile, sawa jina la baba yangu linahusika ila sio in general nimeweka mwenye kazi nzito!1

Le Mutuz
 
binafsi nakukubali le mutuz i hope pia unaweza kuwa mwalimu mzuri ktk industry ya online bussnez tupe skillz na ss ambao we are ambitius!
 
binafsi nakukubali le mutuz i hope pia unaweza kuwa mwalimu mzuri ktk industry ya online bussnez tupe skillz na ss ambao we are ambitius!

- Thanks U bro karibu sana just show me what U got!! kwanza and then we can work it out from there on!1

Le Mutuz
 
mkuu ivi una familia? Au umri wako labda?
 

acha utani utawezaje kurekbisha chama chako? ...hebu tuambie unaweza rekebisha nintukuamini maana haa rostam alikimbia siasa zenu aliziita neno baya halifai kurudia


 

Mkuu nimekua nikikuona sana humu jf especialy kule celebrities forum umetajws mara nyingi ila nlikua sijui kama wewe ndo lemutuz,kumbe ndo wewe? Hivi wewe ni mwanasiasa?
 
Hapa sasa unaanza kukoroga mambo na kuonyesha UNAFIKI.
Ni kweli CCM ni wa kweli kuliko wapinzani?Are you serious?
One thing is certain,kwenye CCM fursa ni nyingi.
Jambo la pili ni background yako,you have everything on a silver plate.
 

Daa! Dunia hii kuna watu lakini CCM kuna viatu...mweee!!
 

Nitaendelea kusema hivi hadi mwisho wa uhai wangu: Le Mutuz wewe ni 'mega brain'!
 
W. J. Malecela
kwanza hongera kwa kaz yako unayofanya mim nashaur tu kunastail unayo2mia kuandika news zako kama copy flan iv kiukwel unakosea sana sometime zinakuwa hazionekan kingne credit ukitoa news kwenye blog kubwa aah utaandika lakin ukitoa kwa wadog wanaoanza hutoi credit kwasababu ni wachanga unakosea kwa hlo bos otherwise may god gve you a long lyf bos
 
Last edited by a moderator:
Umaarufu wakujipendekeza kupiga picha na wale vinuka mkojo au??
 
Bahati mbaya sio tatizo la tanzania tu...dunia nzima udaku ndio habari zinazolipa....Ata umu jf ni wangapi wanaotembelea jukwaa la lugha,afya au technology

hapo kwenye udaku hivi kama una habari ya udaku celebrities wa kibongo ukiwauzia magazeti au blogs za udaku unalipwa na kama ndiyo kwa kiasi gani.
 
Umaarufu wakujipendekeza kupiga picha na wale vinuka mkojo au??

- Kwenye the real life game hizi tunaita kwi kwi kwi za kushindwa the game pole sana mkuu ha! ha! ha! ha! ha! tunaendelea jamani naona hamna ishu hapa okeee!!

Le Big Show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…