Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

kwa umri ulionao,kuusaka umaarufu kupitia social medias,umechelewa sana brother W. J. Malecela .
 
Last edited by a moderator:
Ni bata kwa kwenda mbelezzzz,u know watu lazima watakubali tu.zari ndani Kama kawa.

- ha! ha! ha! U know this is wasap u know, jamani nimeshatuma mchango wangu wa kuishukuru JF kwa kunifikisha hapa, mchango umeshafika kwa hiyo this case is now closed tunasonga mbelezzz U know and U know I love it! ha1 ha! ha! kwa wale wenye kwi! kwi! pol;eni sana this World kuna people kama mimi we just don't care and live our super life wewe utajibeba tu sisi tunakwenda kwa mbele sasa get ready kwa Instagaram Party itakuwa ni balaaaaahaaaa U know!!

Le Mutuz
 
Laki mbili si haba, hongera kuchangia, maana kutoa ni moyo, wachache ndo wanaoweza, wengi humu wanajua kupost mada, kusoma na ku comment tu.
 

Nimeliona hilo tangazo kwenye instagram je sifa ni zipi kwa wahudhuliaji
 

Hilo party la ajabu litapigwa uwanja wa taifa,au Double tree Kama kawa?u know najua watu watakuwa wengi kutaka kumshuhudia zari live.
 
Safi Sana Le Mutuz Umefanya Jambo La maana kukumbuka ulipotoka,mtu ambaye hajui hatokapo hawezi kujua anapoelekea,Le Next Le Billionea Ha ha ha ha!!!!
 

Aiseeeee Tanzanite Member Usinitose kwenye hiyo Instagram Party.
 
hapo kwenye udaku hivi kama una habari ya udaku celebrities wa kibongo ukiwauzia magazeti au blogs za udaku unalipwa na kama ndiyo kwa kiasi gani.

wanalipa kuanzia laki tatu inategemea na supa staa mwenyewe!
 
big show umefanya la muhimu kukumbuka ulikotoka mkuu utazidi fanikiwa
 
big show umefanya la muhimu kukumbuka ulikotoka mkuu utazidi fanikiwa

- Sasa imagine maisha yangu yote majuu nilikuwa sina hela kabisa ya kuweza kuchangia nimekuja kuwa nazo bongo yaani wee wacha tu!! ha1 ha! ha!

Le Mutuz
 
Mkuu Safi sana na Hongera sana kwa kukumbuka ulipo toka!

Umeonesha mfano Mzuri!
 
Hilo party la ajabu litapigwa uwanja wa taifa,au Double tree Kama kawa?u know najua watu watakuwa wengi kutaka kumshuhudia zari live.

- ha! ha! ha! ha! yaaani we acha tu umeona kule Isnta mabebz wa ukweli wanavyozimikia the big party ya Le Big Show U know, I mean I am down sana U know!!! ha1 ha! ha! ha! I love it!1

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…