William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #81
Mkuu Safi sana na Hongera sana kwa kukumbuka ulipo toka!
Umeonesha mfano Mzuri!
hakika.Safi Sana Le Mutuz Umefanya Jambo La maana kukumbuka ulipotoka, mtu ambaye hajui hatokapo hawezi kujua anapoelekea ,Le Next Le Billionea Ha ha ha ha!!!!
Hahahahaha Mkuu mimi huwa natoa ushauri ninapo ona panatakiwa na kwenye jambo la maana natoa Hongera kama hili la leo!- Kaka usiwe na wasi wasi kuna wakati ulikuwa hunielewi naona siku hizi umeanza kunielewa sawa sawa inatakiwa kuwa na akili sana kichwani ili kunielewa U know!!
Le Mutuz
- Sasa imagine maisha yangu yote majuu nilikuwa sina hela kabisa ya kuweza kuchangia nimekuja kuwa nazo bongo yaani wee wacha tu!! ha1 ha! ha!
Le Mutuz
Mokoyo, - No way nimetoa shukrani tu kwa chombo kilichonifkisha nilipo in one way so nipo sana kama kawa!!
Le Mutuz
Kwa sasa ushakua mtu mzima pamoja na shukura zako nzuri kwa jf uache utoto wa kupiga picha keki kwenye bithday yako na kuzituma kwa id nyingine mambo hayo yamepitwa na wakati we mtu mzima ukue sasa!!
- ha! ha! ha! ha! yaaani we acha tu umeona kule Isnta mabebz wa ukweli wanavyozimikia the big party ya Le Big Show U know, I mean I am down sana U know!!! ha1 ha! ha! ha! I love it!1
Le Mutuz
Hakika mkuu!Le baharia nimekuvulia kofia yani unawachezesha watu midundo unayotaka na ni lazima wacheze.
kama kawaida hii ni page ya tano sasa wananchi wanatiririka haters wanapata stress kabisa.
Ingawa mimi najuwa umeshachangia pesa zaidi ya hii laki mbili lakini ulichokifanya ni wake up call kwetu wengine tuwe na thanks giving pia.
nakuahidi kuanzia kesho nitakuwa mmoja wa visitors wa blog yako to show my solidarity na nawashauri wana jf wengine tupigane tafu wenyewe.
juu kwenye thread chini weka link ya kuingilia kwenye blog yako, chuki ni ugonjwa mbaya sana na unauwa binadamu mapema kabla ya siku zake.
Huo utoto ndio unaomwingizia pesa, je wewe umezuiwa? .......i.
wanalipa kuanzia laki tatu inategemea na supa staa mwenyewe!
Kwa sasa ushakua mtu mzima pamoja na shukura zako nzuri kwa jf uache utoto wa kupiga picha keki kwenye bithday yako na kuzituma kwa id nyingine mambo hayo yamepitwa na wakati we mtu mzima ukue sasa!!
- Jamani kwanza naomba kukusaidia ile Birthday nilifanyiwa na ile Hotel bure kwa heshima ya Le Mutuz Big Show, na pili zile picha zilipigwa na wafanyakazi wa blog yangu na kuziweka Blog picha unazisema zimechukuliwa kwenye my Instagram na kueltwa huku muda huo sina mkuu, usichukie kaka mbona kama hunipendi kihivyo umekuja kuchangia hii thread? I mean hata wewe unashobokea maana this is Le Big Show na wewe hapa unaweza kuonekana ndio maana ya kucheza the game na Celebirty kama mimi The King of all bongo network Social Media ok!!
- Relax man mambo bado subiri sasa The Instagram Party itakuwa ni balahaaaahhh U know!!
Le Big show
- Sasa imagine maisha yangu yote majuu nilikuwa sina hela kabisa ya kuweza kuchangia nimekuja kuwa nazo bongo yaani wee wacha tu!! ha1 ha! ha!
Le Mutuz
hahahaha asante mama kwa hii taarifa muhimu.
kuna jamaa alisema eti kila akitembea Barabarani na kukuta kinyesi basi huwa anakukumbuka kweli...
Kitu kingine ninachokupendea Le mutuz uwa ni mkweli hujikwezi kwa kile ambacho huna.
Mi nilikuelewa mapema japo watu walikuwa wanakuona mjinga sasa watu wameaanza kukuelewa,
lakini umekosea kuwaelezea watu tactics zako unazotumia kuongeza followers we ungeacha watu waendelee kukuona kama huna akili wakija kushtuka kunakuwa kumeshakucha(ushakuwa billionea)