Thank You Japan

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
On behalf of Magufuli I thank the Japanese for donating us Tazara Flyover...We now need Russia to donate an interchange..The Goodness of being an LDC you get Donations Rather than Loans Just like our beggars in Kenya they make it Big by Donations From Generous Kenyans.
 
Write your reply...
ask yourself,which is better loan or donation??
 
donation but it shows you are a LDC
the thing you lack, is contents,you can only speak fluent english,let me tell you something,
to be LDC is an opportunity, viongozi wetu hawako kumfurahisha mtu,wanajali hasa maisha ya wananchi,unakuwa middle income na hauiwezi hiyo status,matokeo yake unabaki na madeni yasiyoeleweka!nchi kama ya Kenya inafikia hatua ya kukopa hela ili kupunguza deni!kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kushangilia upuuzi huo!
 
Hehehe!! Huu uzi, nawahi siti nijionee mipovuuu
 
Sasa kuliko tupigwe kama mlivyonyukwa na mchina kwenye SGR si bora sisi tunapewa bwerere

Nyinyi endeleeni kutapeliwa mpaka mwisho wa dunia sisi tutatumia kila mbinu kuhakikisha tunapata real deals au free deals kabisa and we are on
 
Dear our much respected neighbour. It is quite obvious that in terms of development you are ahead of us, we watoto wa Magufuli. So ati sioni sababu ya sisi kushindana kwa maneno...but we are supposed to find a means of helping each other to achieve actual development...because we can have good infrastructure, well-built cities, and industries...but who own all these, who benefit much, if we compare those who have and have not, Are the majority of population satisfied and well-off?

Bravo Kenyans, Tanzanians you are almost there, and good for you that you are united...mnaweza mazee.
 
Hongera kwa Waziri wa mambo ya nje pamoja na balozi wake waliomtuma huko japan.
Hii ndiyo maana ya diplomasia biashara..Si rahisi kupata pesa ndefu hivyo kwa urahisi..Inaonekana kuwa wizara ya mambo ya nje iko na mchapa kazi.
JPM ana stahili ampatie waziri huyu tuzo la juu zaidi ( Head of State commendation) kwa umakini wake
 

Endelea kusema donation na ndege zinaingia, reli inakamilika, big dams than any in Kenya linajengwa, barabara ndio usiseme, utabaki hivyohivyo kupepeta midomo.
 
Kujinadi kwenu ni changamoto kwangu. Hongereni maana nawaona kama mwajiona nyie ni Marekani ya Africa

Hehehe hukulijua hilo, Afrika hii hakuna wa kutuzidi, hata SA tunawakuta tu.
 
Mijitu ya kuzungusha bakuli kila mahali halafu inatusimanga kila mara.
Mhakikishe mmewaokota ombaomba wenu Kenya mwapeleke Japan na Russia wakaombe huko.
Professional beggars
 
Kuomba omba... Donations... Hmm doesn't Maghu-FOOL-i claim you have all the money in the world to build all your projects??? Just begging like you guys do in Kenya..
Tanzanian beggars flood streets of Nakuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…