Thank you Jonas Gerald Mkude

Yoav Gallant

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2023
Posts
2,122
Reaction score
4,699

Miaka kumi ya kiungo mkabaji wa Simba hatimae imefikia tamati, utakumbukwa kwa kuwa mmoja ya wachezaji wazawa waliopata namba kwenye ile timu iliyojaa mastaa kiasi cha kuchukua ubingwa mara nne mfulululizo na kufika robo fainali ya Shirikisho pamoja na klabu bingwa Afrika.

Thank you Jonas Gerald Mkude.
 
Kuna timu ikitumia akili ikawazoa baadhi ya hawa wachezaji wa "Thank You", ikaweka mazingira mazuri ya kuwatumia inaweza kujikuta msimu ujao inamaliza nafasi ya pili juu ya Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…