Thank you, Manny Pacquao!

Huyo jamaa ni kiburi wa imani na amesimamia anachokiamini. Ukweli utamlinda daima na msimamo wake ni pigo kubwa kwa waliberali wanaotaka kuhalalisha kila aina ya uovu katika dunia hii.
 
Wapumbavu ni wale wanaodhani wanaweza kuiendesha dunia nzima kama wanavyoendesha familia zao
Kuna muda pesa haifai kitu linapokuja suala la utu wa mwanadamu....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…