Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Status
Not open for further replies.
Магу сказать что идить нахуй
 
Pamoja na kwamba le mutuz ana ishi maisha yake binafsi lakini upinzani ni mkubwa sana. Cc nifah
 
Last edited by a moderator:
Ahaaaa?! Kila mtu anajina duniani. Plus welevu hawaagalii majina na picha wanaangalia point. Ua so useless
 
ni zaidi ya chiiziii nway ushamba unakusumbua miaka yenu ya 60's hivi vitu havikuwepo
 
Hivi mtu unapataje nguvu ya kuendelea kumtukana mtu ambaye kila ukimtukana ye anacheka tu..u guyz nid to understand this,your comments cant change this big braza..that the way he is..let him live his life..and u live yours
 
miwani kama fundi welding Leo umechomelea gate ngapi Le Fundi
 
Hivi mtu unapataje nguvu ya kuendelea kumtukana mtu ambaye kila ukimtukana ye anacheka tu..u guyz nid to understand this,your comments cant change this big braza..that the way he is..let him live his life..and u live yours

- Jamani hebu waache nifikishe page 10 kwanza please hahahahaha

Le Mutuz
 
- Hahahaa mimi ni Celebrity tena big sasa labda nikupe namba ya msaidizi wangu umuulize au? hahahahahahah U know

Le Mutuz

Tutajie bwana...huyosaidizi wako sio alosema kuwa umewahi kutolewa kwenye jarida kubwa zaidi ya vibe linalosishia kimara mwisho pale.Njia ya mwongo fupi afu nyembamba.
 
Sielewi unaposema kua na influence unamanisha nini...ni kitu gani haswa japo kimoja ambacho unahisi kili influence "kama unavyodai anyway" jamii hii yetu ya watanzania
 
Kipimo cha ujinga no maneno au mawazo yatokayo kwa mtu husika so huyu kikongwe W.J.Malecela naona anataka kutuonyesha jinsi alivyo zuzu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…