Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefany nini?
Wamechukua mijishangazi kama bosi wao...Amefany nini?
Diamond ndo platnumzDiamond ndo nan?
Nadhani unamaanisha hujamuona live (maana shoo zake 100,000 kwenda mbele) basi endelea kumuona kwa njia ya video sio mbaya.Diamond ndo nan?
Asante ila rekebisha ni nadhani na si nazani,pia hadhi na si hazi mkuu.Mh Joseph Haule "Bongo fleva inabatizwa rasmi BACLAYS CENTER na diamond platnumz" Big up SIMBA kwa kupiga show hapo NY BACLAYS CENTER wanaoujua huu ukumbi nazani wanajua hazi yake.
Ukisoma hapa utajua ni wapi.Barclays center Ni wap