Same way ma dad told....kwamba sadaka iwe ni habit yangu for every time...nashukuru kwa kukazia...that is it...ni sadaka na sio fungu la kumi
ndio maana hata alama nyingi za barabarani zimekorogwa kiholela holela, Engineers wenyewe ndio kama huyu mtu, anaandika kama hakwenda shule. Tanzania hakuna wataalam.I had 1 month (30 days) as Engineer in one of the biggest Road construction Project. After severe suffer on looking for a job, et list now naanza kuwa
I had 1 month (30 days) as Engineer in one of the biggest Road construction Project. After severe suffer on looking for a job, et list now naanza kuwa mtu kati ya watu.
Namshukuru Mungu wangu na nawashukuru JF founders and members coz tangazo la hiyo kazi nililipata hapa hapa JF till final interview nikawa success!!
PROMISE:
Mshahara wangu wa kwanza nitamtolea Mungu wangu fungu la 10, na pia nitaichangia JF izidi kudumu na hata status yangu itabadilika from Expert JF member to PREMIUM, Soon!! Once more, thanks GOD, JF and all.
MY REGARD....SIZINGA.
I am happy for you Sizinga