FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Sina budi kumshukuru mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo .
Leo ni anniversary yangu ya ndoa 4 years ...nina furaha sana juu ya jambo hili jema kwangu
Pia kukaa na mwenza mbali ni ngumu kwa maisha ya kawaida ..
ukweli ni kwamba kwa uwezo wangu pekee nisingeweza lakini mwenyezi ...
Mungu wa haki na rehema ananipigania na kuniwezesha
Kuna wakati kunakuwa na mawimbi na dhoruba kama upepo wa bahari
lakini inafika kipindi hali inakuwa shwari na tulivu maisha yanaendelea...
Namshukuru mungu anaendelea kuipigania na kuiongoza family yangu..
Thanks my beloved husb and my lovely Doughter M...
Nawashukuru sana wanaJF kuwa pamoja nami kwani tumekuwa kama family ambayo..
baadhi yenu huwa mnanihoji maswali wewe mama Rais unatafuta nn JF usiku wote huu prezidaa yuko wapi?
Ukweli ni kuwa anakuwa katika safari zake za kutafuta mkate wa kila siku....
Nikiwa mpweke sana naingia JF kubadilishana mawazo nanyi ndugu na marafiki zangu....nafarijika
nazipenda nasaha zenu wote zipo nazojifunza ,naburudika hata nacheka na kuongeza siku za kuishi.
Pia wapenzi mabinti na kina kaka ambao hamjaoa na kuolewa ..msikate tamaa wala msiwe na haraka ya jambo hili
Mungu mwenyewe aliahidi katika maandiko matakatifu ...atatupatia msaidizi wa kufanana nae ..na anajua kabisa mahitaji yetu ya kimwili na kiroho
Msife katika imani kwani mungu hachelewi wala hawahi..yeye hutoa kwa wakati wake tusipozimia mioyo yetu...
Tuendelee kuombeana ktk safari ya maisha ...msisahau kufanya cheers kwa ajili yangu:happy: