Thanks God..Thanks to all JF friends !!


ooh my god Thanks nimepata kitu hapa
Tulizo asante sana
 
Hongera sana my dear FL1

Kumbe bado mchanga sana kwen ndoa eeh.....LOL

Keep on walking the good, blessed life....

Baadaye basi tutete kidogo....

Asante sana Kaizer nakumiss ndugu
Endelea kuniombea katika hili..kama maandiko yanavyosema
After 2 hrs frm now ...will keep in T
 
Safi Sana fl1 na endelea kuwa na moyo huo na Mungu akujalie kwenye ndoa yako idumu zaidi.

Nashukuru sana Arsenal Wenger nafarijika sana kupata maneno yenu ya kutia nguvu..
Be blessed
 


....1stLady, Happy 4th Anniversary..! AM HAPPY FOR YOU!!!
...Mw'Mungu awazidishie uwezo, furaha, amani, upendo, afya, na matumaini!
 
1.HONGERA SANA SANA,UBARIKIWE.
2.SI WOTE WALIOPO KWENYE NDOA HUIKUMBUKA SIKU KAMA HIIII !!!!!!!!!! KWANINI??? KWA SABABU NI SIKU ILIYOWAINGIZA KWENYE MATATIZO MAKUBWA..........UNA BAHATI WEWE KWAKO NI SIKU ILIKUINGIZA KATIKA NEEMA NDIO MAANA UNAIKUMBUKA...HONGERA .
3.KUNA NDOA HATA MWAKA HAZIFIKI,.........NA ZILE ZINAZOFIKIA MWAKA NI DALILI NJEMA KUWA ZITAENDELEA......MILELE
4.UMESEMA VEMA KUWA MUNGU ALIKUWA PAMOJA NA WEWE,NI KWELI, SASA MRUDISHIE MUNGU UTUKUFU...UKIENDA KWENYE NYUMBA YA IBADA USISAHAU KUTOA SHUKRANI. HATAKUACHA KUWA PAMOJA NAWE MWAKA WOTE UNAOFUATA.
5.UKIPITA MWAKA BAADA YA KUFUNGA NDOA UNAANZA KUONA TRUE COLOURS ZA MWENZAKO,UNAANZA KUSHANGAA KUWA HEEE HUYU YUKO HIVI???? MIJADALA MINGI HUWA KWANINI HUKUNIAMBIA????........Ha ha ha ha,najua umeona na kupata rangi ulizozitegemea na kuzipenda kwa mwenzio UMEMPATA MUME MWEMA VINGINEVYO USINGEKUMBUKA LEO,KUNA ANAEPENDA KUKUMBUKA MAUMIVU????? .HONGERA KWA KUFANYA UCHAGUZI SAHIHI.
6. NYIE WENGINE WANA JF VIPI??????? AU WOOOOOOOTE MPO SINGLE??????.(SWALI HALIHITAJI JIBU.....JIJIBU MWENYEWE)
NAKUTAKIA MAISHA MEMA YA AMANI NA RAHA.
 
....1stLady, Happy 4th Anniversary..! AM HAPPY FOR YOU!!!...Mw'Mungu awazidishie uwezo, furaha, amani, upendo, afya, na matumaini!
HAPPY 4th ANNIVERSARY, 4 years ktk ndoa si mchezo. Hongera sana First Lady!
 


mmmh Tall ngoja kwanza maneno yako bado narudia na kurudia kuyasoma ..
 
HAPPY 4th ANNIVERSARY, 4 years ktk ndoa si mchezo. Hongera sana First Lady!

umeona eeh wakati wazazi wangu wanacount 31 years mie ndo kwaanza naanza kuhesabu 4 mungu tusaidie ...nifate mfano wa wazazi wangu
 
Hongereni Mungu awajalie baraka na maisha marefu ya fanaka na furaha. Mr Kabuche 1977 nakupongeza kwa kumtake care FL vizuri endelea kuwa mwaminifu katika ndoa yako. Nawatakia mafanikio ya mapacha 3 mwakani Febr.
 
Hongereni Mungu awajalie baraka na maisha marefu ya fanaka na furaha. Mr Kabuche 1977 nakupongeza kwa kumtake care FL vizuri endelea kuwa mwaminifu katika ndoa yako. Nawatakia mafanikio ya mapacha 3 mwakani Febr.

ha ha ha Nguli Mapacha watatu utakuja kunisaidia kulea ,,wajua kabisa tatizo la mabeki tatu ni kilio kwa jamii nzima

Nashukuru sana kwa wishes zako na iwe kama unavyoniombea ..

thanx
 



Maneno yako FL1 ni so motivating and inspiring... kua yote yawezekana
Na maisha kufurahia one is responsible for ones self...

BRAVO!!!
 
omba sana Mungu akusaidie maana safari bado ni ndefu sana ......binadamu tunabadilika sana.......
 
omba sana Mungu akusaidie maana safari bado ni ndefu sana ......binadamu tunabadilika sana.......

Ni kweli Edson kwa sasa nafurahi kipindi chote nilicho nacho lakini pia kwa msaada wa mungu ananiwezesha peke yangu siwezi ..hasa hapo uliposema binadamu tunabadilika..Naendelea kudumu katika maombi ya kuiombea family yangu.
 
Hongera sana mpendwa, mungu awabariki pamoja na familia yako muishi kwa amani na upendo.
 
Hongera sana, mungu akutie nguvu na azidi kuimarisha familia yako!
 
hongera sana aisee............... ngoja niishie hapa naona leo invisibo yuko zamu,............... ban njenje!!............. god bless ya all..............
 
HAPPY 4th ANNIVERSARY, 4 years ktk ndoa si mchezo. Hongera sana First Lady!

Gagurito, umesema yote hapo!

FL1, hongera sana!

Mpe hongera zake Mhemiwa Rais pia.

Mungu aendelee kuwa nanyi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…