Thanks God..Thanks to all JF friends !!

Hiyo cheers tunafanya individually au unatualika ikulu?
Dah....hongera FL1.......

BTW: Saa 08.39am ni usiku?

muda usikushtue kamanda,labda alikuwa ametoka 'kuitambikia ndoa'.....lol... baada ya sherehe ya miaka minne bana!
 
Kila la kheri my dear, Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda wewe na familia yako.
 
Hongera sana dear. Zidi kumtegemea Mungu ailinde ndoa yako. Alichokiunganisha Mungu na binadamu asikitenganishe. Happy Anniversary FL!
Napenda thread kama hii zenye kutia moyo walioko nje ya ndoa wasiwe wahoga kuingia. Ndoa tamu jamani!
 
Hongera sana First Lady, Mungu akuzidishie amani katika ndoa yako uje usherehekee na wajukuu zako some 50 years to come.

Thanks pia kwa kutukumbuka siye tunaotaka kuanza hizo happiful annivessary, waombee wapate waliowema.
 
Nawapongeza na kuwatakia kila la heri
Mungu awabariki aendelee kuwajalia Amani,upendo na matumaini......... awazidishie furaha na hekima.......

 
Hongera sana mama wa kwanza....muishi kusherehekea nyingine 50!!
 
 
 
first lady nakuheshimu sana........................ ila leo umenikwaza!!...........................
 
Ubarikiwe zaidi mysister, Enjoy :music:
 
Hongera sana , mungu azidi kuibariki ndoa yenu,
wanandoa endeleeni kuithamini na kuipenda ndoa yenu,

hongereni sana sana.
 
Your Majesty First Lady,

Congrats za pekee kwako na mumeo kwa siku hii muhimu kwenu.

I'm very inspired to hear the good side of marriage...Mungu awaongoze na kuwatia nguvu katika ndoa yenu pia mzeeke wote!!

Indeed happy for you!!..Be Blessed!!!
 
Hongera sana mpenzi.Mungu azidi kuwapa kibali maalumu mbele zake na wanadamu.
 
Hahahaha...babu amevaa mawani yake leo...na umri huu anajua sana kunusa...
Angalia MISENKSI anayomwaga kabuche hapo afu connect them dots...LOL
Jose Mario O'campo ameniahidi ajira.....
Naomba nikupe kazi babu
 
Hongera sana kwa hatua uliyofikia...Zidi kuishi katika kumtanguliza Mungu kwenye ndoa na maisha yako kwa ujumla.
ningependa kuja hapo malaika sema siwezi kuja nchi kavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…