Thanks.. mwezi wa tabu, umeisha.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Sasa yapata mwezi mmoja [net].. tangu watoto wadogo wajaribu kumchezea sharubu mnyama mkali mwituni pengine kuliko wote, Simba.
Honestly, huu mwezi huu uliopita umekua mgumu na mrefu sana kwetu.

Nachoshukuru "tatizo" lililotusibu mpaka watoto wadogo wakajaribu kutuchezea [nasema walijaribu kwa kua simba hua hajaribiwi kamwe.. nasisitiza hua hajaribiwi.. nadhani mmenielewa] tumeliona.. na tumeliondoa.
Swali: How??
Jibu : Ni siri ya kambi.

17.12.2016 mnyama mkali mwituni pengine kuliko wote, Simba, anarejea tena mawindoni.. Na our next target ni Ndanda FC. Na hii itakua ni katika mzunguko wa pili wa VPL.



ANGALIZO:
Kua makini unapokutana na mnyama Simba... ila kua makini zaidi unapokutana na Simba aliyejuruhiwa.
 
Miruzi mingi humpoteza MBWA .....mbwa alikuwa anaendelea kufanyavizuri sana mawindoni!
Ghafla wenye mbwa wakaanza kupiga miruzi kwa furaha na kupagawa , Matokeo yake ndio hayo....MBWA keshapotea na anatokomea kusikojulikana
FUNDISHO
MBWA akifanya vizuri safari ijayo acheni kupiga miruzi mingi atarudi tu na mawindo[emoji96] [emoji96] [emoji13] [emoji13]
 
Tatizo tumeshaling'amua.. Hivyo kaeni chonjo.. TUNAKUJA.
 
Naipenda simba mshabiki Wa damu, mwenzenu sitoihama...simba mshabiki Wa damu
 
Yanga ndiyo kila kitu. Mnabisha?
Hivi mala yamwisho Simba kuchukua ligi ni lini kweli!!!!!
 
Mbona kama huyu mnyama mwenyewe ameshazeeka, ndio maana miaka minne yote watu wanchezea sharubu tu bila kuwa na madhara yeyote, anaenda mawindoni anarudi akiwa kanyofolewa sharubu zote na meno pia, Safari hii akishangaa wanamnyofoa hadi nyeti [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni jambo la kushangaza utakapoona simba kapakatwa na kunyweshwa maziwa.
 

Mwezi wa Tabu umeisha wakati Mzee Kilomoni kaleta mgogolo mpya huko Msimbazi... [emoji23]
 
Mkuu, baada ya zile mechI mbili za mwisho ulienda sehemu isiyo na network. Nashukuru upo Sasa umerudi kwenye mtandao.
Umewasikia wazee wa baraza la wadhamini?
Mtapigwa tena mechI mbili za mwanzo mzunguko wa pili! Stay tuned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…