Thanks Paka Jimy

we pijeii ulimpeleka huyu mtu kwa STELLA?
 
Nimefurahi kweli na hii News ..Lakini Nyanda za juu kukoje ..unaenda sehemu unakosa pa kulala ..ushirikiano Zero ..siku zote me nalala Police kwa msaada ..i wish PJ ungekuwepo mtu mwema
Ubarikiwe na bwana ...
kuna mtu nabishana nae huku chat-room ananiambia ulikuwa dar siku za karibuni.............
sasa kwa namna ninavyokupa respect sikuwahi kutegemea kama ungekuja na kutoka kimya kimya HASA NIKIKUMBUKA WHAT HAPPENED PALE ROCK-CITY........
naomba unithibitishie uvumi huu kwamba ''ULIKUJA DAR''.........
samahani kama nimekukwaza binamu...........
i am waiting
 
Kumbe nina kesi ya kujibu hii thread imeisuta nafsi yangu na mimi nilipokelewa VIZURI sana na PRETA na nilifikia kwake,nilikaa siku 2 alinipa gud time sana jioni tukatoka out na Lily Flower na Member 1 anaitwa Dani. Sitosahau siku ile kweli ARUSHA nitarudi.
 
mkuu piijeei,
mimi naikumbuka sana ile valuu ya pale wapi sijui...........
dah!
unatisha piijeei
 
halafu ukiwa dar usisahau red-lebel eeh!AHADI NI DENI........
 
Nimefurahi kweli na hii News ..Lakini Nyanda za juu kukoje ..unaenda sehemu unakosa pa kulala ..ushirikiano Zero ..siku zote me nalala Police kwa msaada ..i wish PJ ungekuwepo mtu mwema
Ubarikiwe na bwana ...

Pole sana FL1, nekst taim ukitaka kwenda huko let me know, utapata huduma bora pale kanisani kwetu... Nitaku-refer kwa Askofu mwenzangu wa kipande ile...
 
Geoff Please .wasiliana na Pearl kuhusiana na hili ana full info mpendwa

Heshima mbele Binamu
 
ha ha ha.....karibu sana Arusha ukijisikia kuja wakati wowote nyumba bado ina nafasi....safari ijayo nitakupeleka ukatembelee Yaeda
 
Mkuu....nina mpango wa kuja huko soon for vekesheni....Nitakutafuta
 
Pole sana FL1, nekst taim ukitaka kwenda huko let me know, utapata huduma bora pale kanisani kwetu... Nitaku-refer kwa Askofu mwenzangu wa kipande ile...

du du Askofu nafikia kanisani tena ....Sebene namwachia nani sasa ....? nakushukuru sana Askofu ubarikiwe na bwana ..
***Well noted ****
 
:drum::target::confused3:

Geoff Please .wasiliana na Pearl kuhusiana na hili ana full info mpendwa

Heshima mbele Binamu
:rofl:

Tuendelee....
 
we pijeii ulimpeleka huyu mtu kwa STELLA?

OOOhhhh...hapana Mkuu, sikumpeleka, maana alikuja kwa kuchelewa sana, kidogo akose Saibaba...alimalizia mambo yote mjini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…