Thanks Paka Jimy


PJ ni mwanaJF kweli kweli, mi kaka kanitwangia simu jana tu baada ya kutoa simu yangu kwa wanaJF nilipowaalika kwa harusi yangu tar 17/07.Huyu ni mfano wa kuigwa.Big Up PJ.
 

true that bro.... we had three/four hours of great moment! i count my blessings and i am sure JF is more than a forum, it is s family
 

huyu jamaa bwana haya ..karibu na kwetu...
 
du du Askofu nafikia kanisani tena ....Sebene namwachia nani sasa ....? nakushukuru sana Askofu ubarikiwe na bwana ..
***Well noted ****

Usihofu FL1, hata kanisani kuna sebene la Yesu...
 

Mkuu, hapo unakesi mbili za kujibu...si moja!(REFER MAONGEZI YA JANA)
kUMBE ulikuja kimyakimya mkuu?
 
Nadhani ni mimi tu nimebakia.
Ni mimi tu kupata mapokezi yako Arusha.
Subiri...........:target:


mkuu rest assured.... na ukienda useme nipange route ya huko!!! this time tutaanzia mbauda na kumalizia CET garden
 
we pijeii ulimpeleka huyu mtu kwa STELLA?
Hahaaaaa... umeanza dogo! tulikua ku-ngurumo zaidi mazee

Ile offer ina-expire kesho saa kumi na nusu aisee
 
PJ ni mwanaJF kweli kweli, mi kaka kanitwangia simu jana tu baada ya kutoa simu yangu kwa wanaJF nilipowaalika kwa harusi yangu tar 17/07.Huyu ni mfano wa kuigwa.Big Up PJ.

PJ mbona mie hunitwangii naomba kutwangiwa simu tafadhari
shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Hongera kaka PJ we ni mzalendo halisi wa JF
 
mkuu piijeei,
mimi naikumbuka sana ile valuu ya pale wapi sijui...........
dah!
unatisha piijeei
Pale panaitwa FLORIDA Broda...Kwa wale watu wa masupu ya ulimi, mkia etc..
Pale ni soo Mkuu!...useme shida ya pale dili za wizi wa magari zinasukiwa pale, mchana kweupe!
 
thanks mkuu for sharing sentiments

sijui wa mwanza wakoje? maana niliona thread moja hapa ya mwanza na nilikua mwanza lakini nikanoti kwamba wa kule waliua very cold sijui hata kama alipata company
 
halafu ukiwa dar usisahau red-lebel eeh!AHADI NI DENI........
hahaaa leo ni suku nzuri, kesho ofa inaisha kabla jua halijazama

mtafute bigirita na wenzake
 
HUYO SISTA UNA MPANGO GANI NAE MKUU?....
mbona mnayaongea hammalizi?.......

Tulishayamaliza tangu siku hizo, kilichobaki sasa hivi ni kufuatilia mrejesho (feedback) na utekelezaji tu broda!
 
ha ha ha.....karibu sana Arusha ukijisikia kuja wakati wowote nyumba bado ina nafasi....safari ijayo nitakupeleka ukatembelee Yaeda
saita deci.... hivi kumaliza tunasemaje kwa ile lugha yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…