Thanks to ya'll

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Washikaji, nashindwa kukung'uta thanks na like za uhakika kwa kuwa natumia mobile device.
Niko Kamsamba, porini huku nafanya kazi za braza Ngiswe, kutorosha mabinti wa watu.
Nawapendeni wote, nina "like" comments kibao, lakini sina jinsi.
Adumu Bujibuji, adumu kila JF memba, na yadumu mapenzi yanayomfanya kila mmoja awe mwehu na mjanja kwa wakati huohuo.
 
Bujibuji unatorosha mabinti unapeleka wapi?
Mkeo ana taarifa hizo?
 
kila la kheri huko porini, ila angalia usije ukakamatwa na katabia kako ka kutorosha mabinti wa watu, take care!
 
Kamsamba, mlowo, igamba itaka kaka unatisha
 
Yani Bujubuji yani kila siku unakuja na kitutuko kipya,
Haya bwana mie huwa moyo wangu unatakasika nikisoma post zako,
Kila la heri,asante kushukuru.
 
kumbe jf via mobile inatusaidia wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…