OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Shule gani ni nzuri kwa pale bagamoyo,,means ipo karibu na dar es saalam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera kwa kupangiwa bagamoyo,ila kumbuka bagamoyo ni kubwa.waweza kupangiwa hata matipwili,miono,wami,au hata saadani.kwa shule iliyopo karibu na dar ni zinga,nyingine ni kiromo.
Kigumu karibsana mi nipo zingapale s/msingi karibu ila nakushauri ujanja wa kupangiwa mjini ni kuchelewa kuripoti mana wanaanza kupangiwa maporini we uchune kama wikimbili hv halaf nenda unapangiwa hapohapo town.
Kama una shahada jipange kwenda bagamoyo sec kuna upungufu pale ila jipange muda wowote, hapatabiriki pale.