Thanx allah nimepangiwa kituo cha bagamoyo...............karibun i bagamoyo wapendwa,,,,ualimu nu rah

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
434
Shule gani ni nzuri kwa pale bagamoyo,,means ipo karibu na dar es saalam
 
Hongera kwa kupangiwa Bagamoyo,ila kumbuka Bagamoyo ni kubwa.Waweza kupangiwa hata Matipwili,Miono,Wami,au hata Saadani.Kwa shule iliyopo karibu na Dar ni Zinga,nyingine ni Kiromo.
 
Mi nimekaa matipwili miaka4,Bagamoyo kuzuri ila kuna maeneo korofi xsana,1.Matipwili,2.Kibindu babu gari moko iyo,3,Talawanda,,4,usiombe kukutana na DEO Sekondari,ana roho mbaya kama mtoa roho,nikahamia Moreto Lugoba na nikasepa kukamua
 
Kwa maelezo zaidi piga 0712336687,0759063942.
 
Sasa hivi bagamoyo sio ile ya zamani,usijali lami ya dsm imepita na imeunganisha sehemu nyingi na kuondoa kero ya usafiri.
KARIBU SANA BAGAMOYO ILA UJITUME...
 
atafute shamba kwa ajili ya kilimo hasa mananasi yatamtoa
 
Sasa uje huku ulete mijimambo yenu ya kidaslam ukavi....vitoto vya watu, hakiyanani tutakushusha ile mizigo miwili inayoning'inia! Kwi! kwi! kwi! kwe! kwe! kwe!
 
Kigumu karibsana mi nipo zingapale s/msingi karibu ila nakushauri ujanja wa kupangiwa mjini ni kuchelewa kuripoti mana wanaanza kupangiwa maporini we uchune kama wikimbili hv halaf nenda unapangiwa hapohapo town.
 
Hongera sana
Ila tahadhari!! Huku Bagamoyo ndio kule wanakobaka walimu....
Jaribu kuijua sababu mapemaa kabla hujaingia huko ili uchukue tahadhari
Kila la kheri
 
Kigumu karibsana mi nipo zingapale s/msingi karibu ila nakushauri ujanja wa kupangiwa mjini ni kuchelewa kuripoti mana wanaanza kupangiwa maporini we uchune kama wikimbili hv halaf nenda unapangiwa hapohapo town.

n ya kwel ndugu? Na c kuwa wenyew washapata list na kupanga kabxa yupi aende wap bila kujal wakwanza au wamwisho kuripot?
 
Kama una shahada jipange kwenda bagamoyo sec kuna upungufu pale ila jipange muda wowote, hapatabiriki pale.
 
Kama una shahada jipange kwenda bagamoyo sec kuna upungufu pale ila jipange muda wowote, hapatabiriki pale.

wamenipangia GENERAL STUDIES dah napenda sana kufundisha hilo somo ila kule ni mbali mi nataka niwe naish dar coz cjamaliza masomo yngu ya POSTGRADUATE
 
Sio lazima kwenda Bagamoyo Sec! Kuna shule kibao za kata hazina walimu!!!!bagamoyo sec ina kasheshe za vujo za udini na wanafunzi wakorofi sana sababu udini!
 
Kama unaenda kufundisha general studies, inamaana unaenda kufundisha A level. Shule zenye a level kule ambazo ni karibu na dsm ni bagamoyo secondary tu, otherwise wakupangie lugoba au miono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…