Thanx: JF imebadili maisha yangu

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Hello JF!

Nilikuwa mtu wa kubadili wanawake kama nguo, sikuwahi kuwa na upendo wa dhati ktk maisha yangu kwa wanawake, but tangu nimeanza kutumia hili jukwaa la mapenzi nimejifunza mengi na nimebadili mwelekeo wa maisha yangu ya kimapenzi kwa kiasi kikubwa!

GOD bless u!!
 
Mwanakondoo mmoja anaporudi zizini!
Ni furaha iliyoje..... Karibu nyumbani... usiangalie nyuma.
Upo nasi.... Tunakupenda sana son!
 
Ni mwanzo mzuri sana , endelea na moyo huohuo kijana
 
Kwahiyo umeamua kuachana kabisa na wanawake au umepunguza kasi?
 
sikuwah kuwa na upendo wa dhati ktk maisha yangu kwa wanawake, but tangu nimeanza kutumia hili jukwaa la mapenzi nimejifunza mengi
kwahiyo bado unao weengi ila ulichojitahidi tu ni kua na upendo wa dhati kwao si ndiyo ama?
 
Senetor hongera sana kwa hilo na kwa hatua uliyofikia
 
Mpita Njia member amepotea tena wakati amerudi kundini. We huoni kama ndo amerudi kundini
 
Mwanakondoo mmoja anaporudi zizini!
Ni furaha iliyoje.....

Mkuu nikuongezee kidogo hapo... Furaha bado haijakamilika kwani Shepherd JF inabidi arudi kule porini kutafuta yule mwanakondoo mwingine aliyebaki amepotea..

Aluta continua..mapambano bado yanaendelea..
 
bravo.... Nenda kapime VVU... uteletee majibu. ndio tutakuona sasa umekua... na umrejee Muumba wako
 
Tunashukuru kama wafanyia kazi ushauri. Jf ni platform la ukweli.
 
bravo.... Nenda kapime VVU... uteletee majibu. ndio tutakuona sasa umekua... na umrejee Muumba wako
<br />
<br />
Hahahaaa! Data unataka Data? Kwel nenda kapime mkubwa then jitahidi uache kabisa hyo tabia!
 
dhambi zako zimesamehewa. Nenda usitende dhambi tena...kama unatishia nyau ujue kazi ya mapigano na pepo ndio imeanza. Kama ulikuwa na pepo moja la ngonoujue limeenda kuita wenzie saba waje wakumalize. Stay blessed
 
Hongera; wewe ni Mbegu iliyodondokea kwenye udongo wenye rutuba na kuzaa matunda! If u know what Jesus meant in l don't remember which book of the Holy Bible!
 


mkuu lakini umepima??????
 
Mungu ni mwema bt majibu ya damu kubwa ndo itakamilisha furaha z2 na wifi 2mjue karibuni basi kaka!
 
Lucky is a woman you are going to fall for....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…