Thaqaafa Secondary; Imepatwa na nini mbona mambo hovyo?

M i nimekua nikifiki mbele ya hii shule na hata dasa nilo hapa Lena Hotel but be honest naona hii shule ina maendelwo sana tofauti na zamni. sasa hizi wAko na gari ya shule na magorofa yameongezeka tofaufi na zamani

Shule kwel n nzur ina maghorofa & kla k2 vkiwemo vtabu vzur & vng vya kujxose vya kiada & ziada, Lakn jiulze maghar hayo yana2mika kubeba wanafunz au yapo km mapambo 2.
 
Ni kweli nameweka ndugu zake na watoto wake, yule mtoto wake masnoor sasa hivi ndio Bursar wa pale. Plus ameajiri waalimu wengi wa kiganda ambao hawana uwezo. Anawachukua kwa sababu ni cheap labour

Nan kakudangany walimu wa KIGANDA hawana uwezo, mmojawapo n MR.HUSSEIN IBRAHIM KASINGA the best teacher in history subject for 4m 5&6. Mwaka 2011 ndo alishik namb 1 mkoan mwanza ktk matokeo ya ACSEE kwa somo la HISTORY, Mwulze swal lolote lle kuhux history ye anafumua mpk miaka & mifano kameza. Kamwe cntomsahau ht material yake alonfundsha hapo THAQAAFA nk2mia kweny presentation hp chuo kikuu Prof. anabak kinywa waz afu makof ya nguvu. Walm wa kiganda kwa uchum ndo wanafunka, Mganda E.Africa ndo anaongoz kwa kufany vzur maxom ya uchum, uchum walkuw wanapasua 80&above afu matcha wa kiganda wanakata xn uchum.
Mr.KASINGA kamwe cntomsahau maishan mwangu HISTORY anaiwez mpk alkuw ak2mia video kufundshia mf.TOPIC YA DICTATORSHIP N GERMAN etc, GOD BLESS MR.KASINGA
 

Kwel Mansoor,yule dada anayejfunga kninja(madam Assist.Accountance) 2lkuw 2namwita ninja pa1 & yule dada mweupe pale reception,mke wa Mr.Suleman(S/Master badala ya opyo kuondoka) wanadharau ya hal ya juu, nakumbuk cku 1 Mansoor almpga dogo wa 4m 4 kxa hajalpa ada kwa mateke & mabut ya 2mbon dah! ilniuma lakn ndo hvyo tena MWENYE CHAKE N MUNGWANA
 

Duh..! haya sasa ni mahaba.
 

Nashangaa wanaowaponda hao walimu wa kiganda, Mr Kasinga ni moto wa kuotea mbali anajua sana anafundisha vyema na yuko commited na kazi yake, kushindwa kufanya vizuri kwenye soma lake ni mwanafunzi kupenda mwenyewe
 
thaqaafa ni jembe siwezi isema vibaya maana ndio imenipa msingi mzuri wa elimu shule haitaki lelemama lazima ukaze kamba ndio utaona mafanikio!
 

Kaka unaweza kuwa sahihi but by the time me naondoka pale ( 2005) walimu wa kiganda walikuwa vilaza sana. Alikuwepo mmoja anaitwa KATO alikuwa anafundisha TAQWA pale THAQAFA Maruzuku alimchukua kwa mkopo, alikuwa bomba la ticha but hakuwa mganda per see alikuwa mganda kyaka ( muhaya in that case )
 
thaqaafa ni jembe siwezi isema vibaya maana ndio imenipa msingi mzuri wa elimu shule haitaki lelemama lazima ukaze kamba ndio utaona mafanikio!

opio kaiharb thaaqafa na kuiibia mpaka amefungua shule yake maeneo ya mkolani karibu na daraja .
 
Hii ni shule ya kiislam?

wala si shule ya kiislamu , hii ni mali ya familia ya Magongo,

uislamu umetumika tu kama ngazi!, kiukweli kabisa mbele za mungu
ni mali ya hao jamaa
ndiyo maana Maluzuku Magongo tangu shule ianze yenye ndiye Meneja wa shule
na wala hatatoka kwenye nafasi hiyo , labda tu aamue amwachie Mdogo wake.

waislamu hapa waliingizwa mukenge.
 

hio shule ni ya government or private...!!?

'Co' school au sio...!!?

tuanzie hapo kwanza
 
Mkuu mi mwenyewe ni product ya pale kama miaka 2 iliyopita na tuliacha hyo shule ikiwa katika mazngra mazuri kabsa.Kinacho i-cost hii shule ni timuatimua ya walimu utafkr makocha wa vilabu vya mpira, bila kuzngatia umuhimu wao na hata uwezo wao.As a result of this, walimu wengi wazuri wanakimbilia shule zngne kama Taqwa,kiseke n.k. then makapi ndo yanaenda thaqaafa.
Ctaki kuamn kwamba walimu wote wa kiganda walioko pale hawajiwezi coz kuna walimu ninao wakubali sana tu mf.Kasinga(mtambo wa history).
Hapa kikubwa ni maruzuku kupanga safu yake upya na ku-identify areas of weakness,badala ya kukaa kupondea shule zngne, ambazo hata ktk rank ya matokeo zinaizd thaqaafa mbali tu.




"Boroyeee, omupe viboko vitano huyo mojinga"
 
Shule yangu 2003 laaa enzi za HM Kimei ilikuwa bonge la shule jijini mwanza msingi wake naukubali any way kutetereka kupo wajipange upya
 
Mbona somo la karate wanafaulu sana
 

ushasema inaitwa thapaafa,ina maana hujagundua tatizo? Jina linatambulisha tatizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…