Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Safi Sana mkuu
Hongera mno kwa kutuwakilisha
 
Halafu mtoto wa kiume inakuwaje unawafundisha watoto wa kike ?
 
Jaribu kama kuruka hivi,
Labda una mbawa,
Ila udhaifu ni wa mwanadamu,
Hongera sana
 
Mtoto wa kike mwanafunzi anapata wapi ujasiri wa kujirahisisha kwa mwalimu wake?!?..
Sitaki kuhukumu ila nina mashaka na unajipresent kwao..


Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Fundisha hizi shule za kata ndio utashangaa ujasiri wanatoa wapi,ila wanafunzi wa hizi shule wamekengeuka

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Fundisha hizi shule za kata ndio utashangaa ujasiri wanatoa wapi,ila wanafunzi wa hizi shule wamekengeuka

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo ndip ujiulize kama sekondari tu wapo hvyo je wakifika vyuoni au maeneo ya kazi watakuweje?
Hapo ndio utajua kuwa rushwa ya ngono mda mwingne huwa haiombwi bali mtoaji ndio analazimisha atoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…