Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

A good teacher
 
Mkuu, unasimamisha kweli ?
 
Tuangalie na shule uliyopo ukute ni vijijini
Nilishaachana na kuajiriwa mkuu. Katika kila jambo kuna majira yake. Niliyowasimulia humu kwa sehemu kubwa ni ya miaka ya nyuma kidogo kipindi hicho nikiwa muajiriwa katika shule kadhaa kwa nyakati tofauti tofauti. Shule nyingine zilikuwa mjini,nyingine vijijini. Na kote huko hayo yalinikuta.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hongera sana, huo ndio uanaume. Wanaume wengi linapokuja suala la ngono husahau kuwa what goes around comes around na kuwa wao pia ni wazazi watakaozaa watoto wa kike na kiume.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…