Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Ingawa mimi ni mwalimu wa watoto wadogo saana,,lakini nina wasi wasi sana na haya maelezo pamoja na ya mtoa mada,

Mimi ninachojua ni kuwa ni ngumu sana mwanafunzi wa kike from no where akaanza kukutega tena akafikia point ya ya kukuandia barua bila ya kujua matokea yake yatakuaje ,,

Hapa tuwe wa kweli mkuu itakuwa kuna sehemu unafeli au ulirespond positively to her non_verbal communication tangu awali hivo akapata ujasili wa kupiga hatua ya pili,,tofauti na hapo ni ngumu saana yeye pekee kuanzisha izi issue
 
Asante sana kwa ushuhuda wako.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu nikukumbushe tuu

Katika vita kubwa ya hawa walimu ni kushinda dhidi y hila mbaya za barehe ya mabinti zetu
 
Ulichokisema kinawezekana sana kutokea. Kwamba Mwalimu mwenyewe akawa ndiye kichocheo cha haya mambo. Kwa upande wangu nadhani nilikuwa naponzwa na ujana wangu,haiba yangu,na namna ninavyawajali hata kufikia mahali wengine wanakuwa huru kunishirikisha mambo yao ya siri sana hususani kiroho na kijamii.


Kifupi mimi ni aina ya Mwalimu ambaye ninaamini sana kwenye kumjengea mwanafunzi uhuru wa kueleza mawazo yake ili kuchochea ubunifu katika fikra zake. Na kupitia hili huwa nagundua mambo adimu waliyo nayo kwenye fikra zao.

Ingawa pia hujitokeza aina ya wanafunzi walionifanya niandike huu uzi. Wanafunzi wanaotake advantage ya personality na treatment yangu kwao kwa kuniletea agenda zao nyeusi. Wapo ambao walikuwa wanapiga hesabu za kuja kuolewa nami kabisa.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Fact
 
Hahahahaaaaa. Umenikumbusha. Kuna mmoja ile narudi zangu nyumbani natoka kazini(shuleni) sina hili wala lile mara paap namkuta getini eti "naomba niingie nipaone kwako mwalimu" . Ikabidi nighairi kuingia ndani kwenyewe.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ila katika mtihai mkubwa tulio pewa sisi Wanaume ni mtihani wa Wanawake. Ila njia nzuri kabisa ambayo mimi niliitumia miaka hiyo nafundisha fundisha watoto wa watu kwenye majumba ya matajiri baada ya kuona mitihani hiyo inakuwa mingi, nikasitisha kabisa zoezi la kufundisha watoto wa kike, mpaka kesho nikasema nitawafundisha wanangu tu nyumbani nikiwa na muda.

Kingine unatakiwa ujitathmini.

Watoto wa kike halafu wadogi ujasiri sijui huwa wanaupata wapi aisee...
 
Dah hii mm ilinikuta sana.hahaa mimi kiukwel na robo zaif sana.
Na vile na kaumbo kadogo bas vyanafunz vya kike vilikuwa vinaniona kama mwanafunzi mwenzao.
Mpk vilikuwa vinanitongoza kabsa.
Ila dah, nili feli kias kiduuchu.

Lakin nakushauri uoe mapema.
Vinginevyo 30 itakuhusu.hahaaa
 
Umeonesha udhaifu mkubwa mno......huwa tunawastua kijoti,kisha unasepa usiweke turubai.....wakimaliza shule huwa hawatakupa salammu......mtoto WA mwenzio mkubwa mwenzio......usipopiga utapigiwa Tu,hakuna namna
Ukijijua kwamba una 'nguvu' sio lazima kuwatambia watu. Ile kuzijua tu 'nguvu' ulizo nazo yatosha. Sina sababu ya kuwa mtu wa kufunua kila sketi eti ili kuwaonesha walimwengu kwamba nina 'nguvu'. So,what?.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
May be because of my personality plus my caring attitude!. Hii huwafanya wanakuwa huru kunishirikisha hata mambo yao ya siri hasa ya kiroho. Ingawa kwenye msafara wa Mamba na Kenge wamo. Uzuri kwa msaada wa Roho wa Mungu na maarifa ya Neno lake huwa nakuwa sharp kubagua nani Mamba nani Kenge.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuoa sio suluhisho la kudumu. Kuna ambao wameoa,ikitokea wamevurugwa au kuvurugana na wake zao wanaenda kujipooza kwa 'wanafunzi'. Mke atashangaa tu mume wake anarudi mpoleeee. Hata akitukanwa ye tuliii.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Uliamua kwa busara ili kuinusuru heshima yako. Hongera.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ok,,hapo sasa nimekuelewq boss,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…