The 10 most beautiful East Coast female radio presenters

Beauty is in the eye of the beholder, yeey
And you don't know King Kong wife, she no idiot
- Shaggy and Rayvon (Big Up)
 
Neno "Most Beautiful" ni comparative term, sasa unaweza kukuta hawa mapresenter ndio wazuri ukiwalinganisha na wengine ambao hawapo katika hizo picha....binafsi nataka niwaone hao ambao wanaburuza mkia hali zao zikoje
 
Kwenye TOP presenters nilitegemea wangejaa Waganda na WATZ.Kenya madem wazuri ni wa kutafuta na hili halina ubishi.Hao wadem waliowekwa hapa ni wa kawaida mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…