Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Wanawake wa Kikenya huwa wanafanana na baba zao.duh kweli wakenya wameishiwa warembo.
Mi sijaona... labda kama kuna picha za mabeauty zingine tofauti na zilizokuwa attached.
Wanawake wa Kikenya huwa wanafanana na baba zao.
jamani, halafu hivi kipenzi changu Sarah Dumba alienda wapi? Au kastaafu? Alitia fora sana siku ile ya ujio wa Mandela