Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
wana vitambi lakini kiukweli unajua itakuwa ngumu sana wewe kumdate huyo kidosho hapo. labda kama unamwaga hela. hawa si superficial kama akina Wema, na si rahisi kuwadanganya na lyrics za diamond kama hivi videmu vya dar, they have brains too na najua hio ndio cryptonite ya vijana wengi bongo. usharobaro na ubanaji pua unadhani madame wa Kenya wanafagilia? Najua utasema hata hauwataki hao madame wa Kenya, lakini swali ni, unadhani hao mademu watakutaka without anything to offer excep your ''good looks'' na lyrics za kaka diamondi?
Hahahaha...taratibu kamanda!
the one with a jeans shorts is palatablenaona wanavitambi
cheki kifuathe one with a jeans shorts is palatable
mkuu nishafanya full screening and everything is alright on hercheki kifua
Sure mkuu. Halafu pale tuambatanishe na beaty queens wa Tz. Watanzania warembo hasa, hata wakenye wenyewe wanakubali kwa East Africa wa kwanza ni Rwanda, pili Tz, tatu Uganda, nne Kenya na Tano Burundi. Ha ha ha maoni yangu mkuu. Wengine wanaweza na mtiririko tofauti.
Nyi watu hua mnalala kweli.... As the artcle says, from east coast mombasa, What gets you into becoming a radio presenter is your voice, your charming, your charcter, someone decided to rate them according to his own opinion(beauty is in the eyes.....), that doesnot mean they are the only female presenters in the coast...