Tabiri zako zote naona ni za mtu ambaye hafuatilii hii michezo kwa makini!
Bucks na Blazers hawataziona FINALS ng'o!
Muda wa show kamili umefika.
Curry is active.
Naombeni link nifatilie online wakuu mvua imevuruga mambo..
Basketball huwa natumia kile cha waarabu na ndo kinezingua mvua ilipoanza kunyesha..Unatumia kingamuzi gn?
Nikajua canal+Basketball huwa natumia kile cha waarabu na ndo kinezingua mvua ilipoanza kunyesha..
Hawa wazinguaji za usiku mala nyingi huwa hawaoneshi wanaonesha zinachezwa alfajiri tu sijui kwa nin..Nikajua canal+
Sawa, unafuatilia zaidi yangu...debate closed. Pamoja na hilo Bucks na Blazers hawataziona FINALS ng'o, and you can take that to the bank.Huu mchezo naufuatilia ata zaidi yako. Tena niko jirani kabisa na timu kubwa ya NBA ninako kaa.
Link jamani half time saizi..
Next time kama unatumia Android Based phoned, download Burma TV au Mobdro (hii unaitoa google siyo playstore).
Channel zote unazipata humo, ni kiasi cha kujua kama game iko ABC, TNA, NBA TV, ESPN nk, ukishajua unaitafuta humo unaangalia game bila shida.
Guys kuna Mjadala unaendelea kuhusu Waamuzi wa jana kutokutoa calls kwa Harden ikisadikiwa kwamba alichezewe fouls nyingi wakati akikosa zile step backs three shots,
Watu wengi wanasema alikuwa analazimisha landing kwenye miguu ya opponents na kujaribu ku create contacts, wengine wanasema alikuwa na haki ya kufanya hivyo hata kama Opponents alisimama wima a little bit refa alitakiwa kumpa free throws,
Nini Mawazo yenu juu ya hiyo issue
Mkuu mbona hizo channel sizioni katika hizo app