[emoji2][emoji2] Wale Haters Habari ni Kwamba, Kawhi is now only the second player to lead the postseason in points, rebounds and steals at the same time, after Larry Bird did so 35 years ago.[emoji16]
Kawhi is unstoppable legitmate beast in nba HistoryNasubiri hizi Finals ziishe nifufue topic yangu ya Curry is not NBA Finals Material.
I am not canadian but I am so proud of the raptors team as I was pretty sure they will beat the warriors [emoji14]
Team chemistry GSW is the best, most players Wana experience ya finals, Raptors ni Kahwi tu ndio ana experience hiyo, Gasol bado ndio first time sasa kwa hiyo wanahitaji muda kukaa pamoja ili waweze cheza kama team ya ushindi, ukiangalia hata kwenye conference finals Bucks ni uzembe wao tu ila game 6 walikuwa na uwezo wa kushinda na biashara ingeishia Milwaukee ila nao kilichowa cost ni lack of finals experience, GSW is better placed to win this title for 3rd consecutive time and kuipita Bulls kwa rings, Curry, Draymond, Klay na bado KD hajarudi hapo Raptors anashinda game gani? Ila sababu ni timu ya Mbantu mwenzetu Maasai na mwezi wa nane tutakuwa nae hapa basi tumuuunge mkono tu, ila GSW is undisputed and unstoppable by any NBA team at the moment
Mmh, mkuu hii comment yako hapo chini ya tar 29 May (a day before game 1) inapingana na hiki ulichokiandika, unless there is something ambacho sijakielewa.
It’s a miracle if warriors gonna win that 3 games left but NBA it’s not gonna be happy [emoji1787][emoji1787]
After game 5 if Toronto win.The longest this series can get is 6 games, but it is almost ending tonight.
After game 5 if Toronto win.
Kd- gone
Boogie- gone
Livingston- gone
Iguoadala- gone
Thompson- gone
The dynasty is gone .. Thank you lord [emoji122][emoji122][emoji122]
Acha kumvizia Curry,sema sasa ili tujue kuwa umechambua na sio umebashiri tu.Nasubiri hizi Finals ziishe nifufue topic yangu ya Curry is not NBA Finals Material.
Acha kumvizia Curry,sema sasa ili tujue kuwa umechambua na sio umebashiri tu.
Labda nikuulize tu,afanye nini hasa ili awe finals material mkuu Don Clericuzio ? Wote tumeona na tunaamini katika nafsi zetu kuwa kupoteana kwa gsw ni sababu ya injuries za key players kabla na wakati series ikiendelea. Alidrop 47pts game 3 lakini bado unamwita si finals material?
Kwa hoja yako,basi hata lebron hakuwa finals material maana ameshiriki 4 mfululizo na ameambulia moja tu.
Tumekubali tumezidiwa hii series lakini tuonyeshe uanamichezo tumpe jamaa haki yake.
Kama tu atakuwa mvp. Ni kama kauli ya pele kwa messi kuhusu nani ni bora kuliko mwenzake. Haya mr DonRudi kwenye posts za nyuma wakati game za final zinaanza.
Hii ni topic tumeshaijadili na msimamo wangu haujabadilika, isipokuwa inakuwa proved.
He needs to be the Finals MVP.
YesIs KD in today?
Was see practising, but still injuryYes, he will play.
Does it make any difference?