The 2019 NBA Playoffs

Hahaha.... ebwana nimerudi mzee, CAVS walinilazimisha nijipe break kufuatilia basketball hasa kwenye NBA. Lakini baada ya muda nimeona kuna sababu ya kurudi na hasa kipindi hiki ambapo ule ukanda unaoaminika kuwa nidio ukanda mgumu zaidi ukionesha kuwa ni dhaifu kupitia kile anachofanywa bingwa wao kwenye fainali...

Lebron hajahaidi chochote kwa mashabiki wa LAKERS kama alivyokuwa akifanya kwenye timu alizotoka, hivyo haishangazi yeye kukosa playoffs nyie jipigieni tu hao maajirani zenu LAKERS inayoongozwa na mzee LEBRON kama mlivyokuwa mnajipigia kipindi cha mzee BRYANT.

As for supporting raptors in this series... mzee baba hili najua unajua kabisa hata kabla sijaonekana humu, i always root for whichever team that plays against Bronze state warriors, even if it is your unknown son that happens to play against Bronze state warriors i would be in support of your son anytime. My ultimate happiness is to see someone killing this dubnation annoyance that has been over trending for few years.

...hhahahaha, kwamba mnataka kupindua matokeo ya 3-1 kwa timu ambayo tangu msimu unaanza mpaka sasa hivi mmeenda nayo 5-1.. hahaha hebu usiache kuitazama hii picha, #strengthinnumber
 

Attachments

  • gsw to win series.jpg
    87.3 KB · Views: 17
I am soooooo NERVOUS! and I am just a fan who is rooting for the underdog. It reminds me of Michael Jordan and Da Bulls era when Da Bulls was LOVED by almost every one.

 
KD ameanza kama vile alikuwepo, 11 points on 3 for 3 from deep!

Leo Haters hatuko kwenye wakati mzuri sana.

Ngoja tusubiri quarter 2.
 
By the look of it, we will probably take over in quarter 3 as usual.

Haters back to life as KD's out.

NOTE: KD = Finals Material.
 
hawa gsw huwa wanasaidiwa sana na hizi cheap free throws na hasa stephen, sijui marefa huwa wanadanganyika na haya maumbo yao madogo. kwa maana wanajigonga wenyewe kwenye miili ya watu halafu refa anawazawadia tu free throws...shiiit.

Halafu huyu dogo KYLE naona anafanya fanya ujinga wa kuirefusha hii series.
 
I am still hopefully that Raptors will take over this game and make history, 3rd quarter will be very crucial for Raptors.

By the look of it, we will probably take over in quarter 3 as usual.

Haters back to life as KD's out.

NOTE: KD = Finals Material.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…