The 2019 NBA Playoffs

WOW! I did not think that mishap was that serious for KT to miss the rest of the game.
Raptors should capitalize the situation, Lakini Sjui Wana Nini Leo Hawa Raps, Wanaboa Kinyama Leo
 
High dramaaaaaaaa
 
Hongera sana Toronto Raptors, ushindi ni wenu na mmeutolea jasho! Poleni GSW mmejitahidi lakini the Basket gods were not with you. Until 2019/2020 asanteni wote mlioshiriki katika hili jukwaa la NBA na samahani kwa wale ambao nimewaudhi kwa namna moja au nyingine.
 
Usijali mkongwe...
Warriors hatoboi kwa Raptors..!
Hata wabebwe vipi hawawezi kushinda hii game..!

Ila umeziona hizo free throws ninazozizungumzia?

Harden alibaniwa na ikapigiwa kelele sana, leo naona walikuwa wanazigawa kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…