The 2019 NBA Playoffs

See you guys next season. This was so fun from the start to the end. Tukiwa tunaendelea kushangilia ushindi wa Raptors na kuwapa pole GSW penye majaliwa tukutane tena msimu ujao. Thank you πŸ™πŸ½ for your participation.

Mkuu Mag3 mie hujaniudhi Bro in any shape or form. Nami katika kushangilia kwangu kama nimekuudhi wewe au yeyote yule kwenye uzi huu nawaomba sana mniwie radhi.

πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½βœŒπŸΎβœŒπŸΎβœŒπŸΎ

Warriors hatukucheza vizuri,majeruhi yametukost.
 
That was the reason why Kahwi part ways with Spurs. Spurs wanted him to play and he informed them that he was not ready. The management and coach were not happy and their relationship with Kahwi was destroyed. I hope KD will be back to perform to his maximum ability.

 
Inasemekana Kahwi alifake kuumia,ni kweli hii jamani?
 

Kabisa mkuu BAK Kawhi was clever. KD was not ready to play. Haiwezekana mtu awe cleared to play over night na awe able to play wakati hakuwa hata anafanya training. Anyway, i hope he will be back at the same level. Shukrani sana mkuu BAK kwa thread nzuri. Tuombe uzima tutakutana hapa mwakani for a repeat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Alivyoumia niliikumbuka ile post yako ya kushauri hivyo.

Nikasema mengine ni ya kujitakia.
 
Inasemekana Kahwi alifake kuumia,ni kweli hii jamani?

Aliumia kweli, ila muda wa kurudi alivyoanza kucheza aliusikia mwili hau respond, ikabidi awajulishe kwamba bado anapata maumivu hivyo anajitahidi matibabu zaidi.

Hapo management inaanza maneno kwamba anashauriwa vibaya, Tony Parker akasema injury yake Tony ilikuwa kubwa kuliko ya Kawhi na yeye Tony kashapona, kwa nini Kawhi asipone?

Hapo ndipo Kawhi wakawa wamemvuruga.
 
He is s a media darling. KD na Klay ndo wanambeba siku zote, huo ndo ukweli.

Yes hii iko hivyo, sasa wamejikuta wanataka sympathy kutoka kwa kila mtu.

Wakiambiwa hii ni basketball siyo mchezo wa netball wanalia lia. Curry anacheza kama netball.

Nadhani Kawhi kawaonesha jinsi basketball inavyochezwa.
 
Hv Kati ya Final MVP na regular season MVP which one worth???
 
Asee hongera sana kwa Raptors. Raps proved to be the better team.

And to my fellow GSW fans, let's not complain saaana over the injuries. Let's remember, we served Cavs the very same dish back in 2015 and in the similar Game 6.

As the team with the heart and mettle of the Champions, I am sure we will be back in the next playoffs.

Once again, congrats to the Toronto Raptors.
 
He is s a media darling. KD na Klay ndo wanambeba siku zote, huo ndo ukweli.
Mmmh...
Kwani KD na Curry wana misimu mingapi pamoja..?
Nijuavyo mimi Curry amekuwa MVP hata kabla ya KD kujoin GSW...
Ameshinda taji la NBA kabla ya KD kujoin GSW...
Au una maana gani kusema Curry anabebwa na KD..?
Mimi nafikiri inasound good ukisema KD amekuja GSW ili kubebwa na Splash brothers,coz ring zote mbili kaja kuzipata GSW,hiyo ni baada ya kuona hawezi kupata kitu akiwa OKC na Mr Westbrick..!
Uko huru kumchukia jamaa,ila usimnyang'anye heshima yake..!
 
Tony sijui anajisikiaje,juzi nimemsikia ametangaza kustaafu.
 
Tony sijui anajisikiaje,juzi nimemsikia ametangaza kustaafu.

Tony yuko powa naamini.

Unajua ile culture ya kina Tony, Manu na Timmy siyo rahisi kuipata mara zote.

Na Kawhi alikuwa tu ni mkimya ila siyo mpole kwa jinsi Pop alivyokuwa anatamani iwe.
 
Hv Kati ya Final MVP na regular season MVP which one worth???

Each is worth on it's own merit.

Imagine, if James Harden wins the MVP this season and you are told to chose who you want to be between James and Kawhi. Who would you chose?
 

Respect bro, word.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…