RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Update: Mzigo wenyewe umewasili
***************************************************
Baada ya kukaa sokoni kwa takribani miaka 14, replacement ya Land Cruiser Prado 150 series imeanza kunukia baada ya Lexus kuweka hadharani toleo jipya la Lexus GX ya mwaka 2024.
Lexus GX na LC Prado ni basically two versions of the same car, kutokana na kushare vitu vingi, kuanzia chassis, body, some suspension components na vingine vingi. Kwa kifupi, hautakosea sana ukisema Lexus GX ni luxury version ya Prado.
Japo, binafsi, sijapenda huu muonekano mpya wa Lexus GX, nategemea Prado itakuwa na muonekano kama huo huku kukiwa na tofauti kidogo kwenye baadhi ya maeneo, kama ilivyokuwa kwa Lexus LX600 na LC300.