The 9 industries most likely to make you a millionaire

Politics mkuu kaiacha ilitakiwa itangulie zote
 
Kati ya hizo, real estate na education zilitakiwa ziwe mwisho kibongobongo lakini. Na energy kama ni mambele ilitakiwa iwe juu zaidi lakini hapa bongo iwe kati. Bongo pia ukiwa smart ukaamua kukufuru na kujua bible unapata millions nyingi, samahani kwa kulitaja hili la mwisho.
 
five of the fastest growing industries.
  1. 1 – Renewable energy. ...
  2. 2 – Cybersecurity. ...
  3. 3 – Biotechnology. ...
  4. 4 – Virtual reality. ...
  5. 5 – Artificial intelligence.
Hizi zote ukiwekeza bongo unapata za uso, tena heavyweight. Angalau kidogo biotech
 
Myb kwa upande wa kununua na kuuza viwanja..ila ujenzi wa majumba na kuuza au kupanga .bongo bado sana..kidogo kwa dsm..mana sera za nchi zinanampa ruhusa mwanachi kumiliki ardh yake na kujenga..ukizingatia hii nchi ina ardh ya kutosha...tofauti na nchi za wenzetu ambapo matajiri ndo wanehodhi aridhi yote ya nchi husika..so wanachofanya ni kujenga majumba na kupangusha au kuuza
kibongo bongo real estate mbona inalipa sana mkuu sema mpaka uwe na mtaji mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kibongo bongo real estate mbona inalipa sana mkuu sema mpaka uwe na mtaji mkubwa
Hakuna kitu kama hicho. Hapa anasema sekta zinazoongoza kuingiza hela, real estate kwa bongo ni ya kuwekeza hela tu kama umeiba hela za serikali au huna kazi ya kufanyia hela zako. Ushawahi sikia mbongo yeyote milionea kwa kumiliki nyumba za kupanga tu? Hii ni sekta inayodumu, sio risk, na ina return ndogo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…