thomas barbona
Member
- Dec 2, 2013
- 25
- 17
Habari kwa nyote.
Mimi ni kijana niliyoiona changamoto ya soko la mazao kwa wakulima wengi hapa Tanzania na kwa bahati mbaya haiko Tanzania peke yake, na nafaham wengi wetu tumeiona na kukumbana nayo. Tumekua tukikutana na madalali kuanzia shambani mpaka sokoni na huu mwiba mkubwa ambao unafanya wakulima wasipate faida kubwa lakini hakuna uhakika wa soko
Mimi nimeamua kutafuta ufumbuzi wa tatizo hili kwa kuwatoa participants wa kati wote kwa kumkutanisha mkulima na mteja au mchuuzi, kwa maana ya kumuwezesha mkulima kuona hali ya soko kwa maana ya prices na hali ya demand au trafic ya mazao sokoni. Na kumuwezesha mteja kununua bidhaa directly kwa mkulima bila kufunga safari. kuna mambo yafuatayo ambayo nmepanga kuyaadress kwenye project yangu.
i. mkulima aweze kuuza mazao kwa urahisi
ii. mzigo uweze kusafirishwa kumfikia mteja
iii. mzigo ufike ule ulionunuliwa, ikimaanisha quality and quantity
iv. kupunguza utapeli
v.naona mtu wa kati ni lazima awepo, na hapa nna mpango wa kuanzisha organisation itakayokua tanzania nzima kuhakikisha mzigo unafika kwa wakati na kwa ubora na kiwango kinachotakiwa.
Swali 1, ni mambo gani mengine ya kuangalia wakati naandaa PROJECT yangu ili niweze kufanikiwa kwenye jambo hili? (naomba issue yako unayoweza kuaddress iwe ni specific ili niweze kuelewa na kulitafutia ufumbuzi swala husika ili tutengeneze)
Swali 2, mambo niliyotaja hapo juu, yanaweza yasiwezekane kwa vigezo vipi? (ongea mawazo yako kwa uhuru kabisa aidha useme tatizo unaloliona wapi au majibu yako vipi kwa mawazo yako)
Lengo la project hii ni kumpa soko la uhakika mkulima, pia kumpa urahisi wa kulifikia soko. Lakini vyote ivi viwe kwa gharama ndogo sokon kuliko gharama kawaida yani kwama embe linauzwa 900 liuzwe 800 na kumuwezesha mkulima apate zaida nzuri yani kama alipat 400 kwa embe basi apate 500