thomas barbona
Member
- Dec 2, 2013
- 25
- 17
naelwHiyo organization itakayoanzishwa ndiyo watakuwa wapigaji wapya. Pengine hiyo organization iwe na kazi ya kuratibu ubora wa bidhaa na kumuhakikishia mnunuzi juu ya ubora wa bidhaa. Lakini mambo mengine yanabaki kati ya mkulima na mnunuzi. Organization itakuwa ikitoza ushuru kwa kazi hiyo tu. Maana bila hivyo mkulima anaweza kumlaghai mnunuzi zidi ya ubora wa bidhaa hivyo kupitia taasisi hiyo itasaidia kwenye utatuzi wa changamoto hiyo. Hili linaweza kufanikishwa kwa kuunda online application ambayo litakuwa ni soko likiwakutanisha wauzaji na wanunuzi. Kazi ya taasisi itakuwa ni kugrade ubora wa bidhaa na kuweka bei husika kulingana na hali ya wakati husika. Hivyo basi mteja akilidhia kuna kuwa na namba ya mkulima itakayowezesha mawasiliano kati ya mkulima na muuzaji hasa kwa ajil ya miamala ya pesa. Hivyo organization yako itapaswa kuwa na storehouse ya mazao kwa wakulima watakaotaka kufanya biashara na taasisi yenu. Na mfumo unaweza kutoa notification kuwa transaction imefanyika na sasa mzigo umeshanunuliwa. Mteja atakuja kuchukua mzigo akiwa na visibitisho ambavyo watengeneza app watalifanikisha hilo. Kuhusu usafirishaji inaweza kuwa biaahara nyingine ambayo taasisi wanaweza kuifanya kama wakipenda.
naelewa hoja zako na lengo langu kubwa ni nkumkutanisha mkulima na mnunuzi, ila siamini kama transaction za simu ni secured sana na naona kama zinaruhusu wizi na utapei. na app hii ikiwa ni ya kupost tu bidhaa haiHiyo organization itakayoanzishwa ndiyo watakuwa wapigaji wapya. Pengine hiyo organization iwe na kazi ya kuratibu ubora wa bidhaa na kumuhakikishia mnunuzi juu ya ubora wa bidhaa. Lakini mambo mengine yanabaki kati ya mkulima na mnunuzi. Organization itakuwa ikitoza ushuru kwa kazi hiyo tu. Maana bila hivyo mkulima anaweza kumlaghai mnunuzi zidi ya ubora wa bidhaa hivyo kupitia taasisi hiyo itasaidia kwenye utatuzi wa changamoto hiyo. Hili linaweza kufanikishwa kwa kuunda online application ambayo litakuwa ni soko likiwakutanisha wauzaji na wanunuzi. Kazi ya taasisi itakuwa ni kugrade ubora wa bidhaa na kuweka bei husika kulingana na hali ya wakati husika. Hivyo basi mteja akilidhia kuna kuwa na namba ya mkulima itakayowezesha mawasiliano kati ya mkulima na muuzaji hasa kwa ajil ya miamala ya pesa. Hivyo organization yako itapaswa kuwa na storehouse ya mazao kwa wakulima watakaotaka kufanya biashara na taasisi yenu. Na mfumo unaweza kutoa notification kuwa transaction imefanyika na sasa mzigo umeshanunuliwa. Mteja atakuja kuchukua mzigo akiwa na visibitisho ambavyo watengeneza app watalifanikisha hilo. Kuhusu usafirishaji inaweza kuwa biaahara nyingine ambayo taasisi wanaweza kuifanya kama wakipenda.
kwa nilivyokuelewa kwako umeona kua na taasisi nyuma ya hii app kutafanya mkulima asiwe na uhuru wa kutosha wakufanya biashara na ikawa kama dalali wa kidigitali. je unahisi changamoto iliyobaki baada ya kumkutanisha mteja na mkulima ni quality checking peke yake?Hiyo organization itakayoanzishwa ndiyo watakuwa wapigaji wapya. Pengine hiyo organization iwe na kazi ya kuratibu ubora wa bidhaa na kumuhakikishia mnunuzi juu ya ubora wa bidhaa. Lakini mambo mengine yanabaki kati ya mkulima na mnunuzi. Organization itakuwa ikitoza ushuru kwa kazi hiyo tu. Maana bila hivyo mkulima anaweza kumlaghai mnunuzi zidi ya ubora wa bidhaa hivyo kupitia taasisi hiyo itasaidia kwenye utatuzi wa changamoto hiyo. Hili linaweza kufanikishwa kwa kuunda online application ambayo litakuwa ni soko likiwakutanisha wauzaji na wanunuzi. Kazi ya taasisi itakuwa ni kugrade ubora wa bidhaa na kuweka bei husika kulingana na hali ya wakati husika. Hivyo basi mteja akilidhia kuna kuwa na namba ya mkulima itakayowezesha mawasiliano kati ya mkulima na muuzaji hasa kwa ajil ya miamala ya pesa. Hivyo organization yako itapaswa kuwa na storehouse ya mazao kwa wakulima watakaotaka kufanya biashara na taasisi yenu. Na mfumo unaweza kutoa notification kuwa transaction imefanyika na sasa mzigo umeshanunuliwa. Mteja atakuja kuchukua mzigo akiwa na visibitisho ambavyo watengeneza app watalifanikisha hilo. Kuhusu usafirishaji inaweza kuwa biaahara nyingine ambayo taasisi wanaweza kuifanya kama wakipenda.
tuna kibarua kigumu sana, maana kilimo kina changamoto sana na nashauli majibu yako kwa hilo swala yawe yenye ubora na rahisi kutumia.. ukicreate demand ya project yako umefanikiwa. kama kuna msaada pahala nauomba especially kwenye matatizo ya kusolveNichukue siti ya pili hapa maana hilo Wazo ndio nalifanyia Kazi na nimeshatoka hii steji uliopo. Ila si mbaya kuongeza minofu kutoka humu