Unapotafu mwenzi wakuoa,
kijana wakiume anapoulizwa unataka mwanamke wanamna gani ili afae kuwa mke mwema?
HUJIBU KUWA ANATAKA MWANAMKE ANAEJUA KULEA WATOTO VIZURI.
Je hii humanisha anataka mwanamke ambae aliolewa akazaa akaachika akiwa tayari amejua/amepata uzoefu wakulea watoto?