Kitu usichokijua kwako itakua ni nadharia ila kiuhalisia wanaoujua ukweli inakua kitu halisi,
Rudi Mwaka 1267 kawaambie Mwaka 2025 kutakua na Mashine zinazotembea angani
Watakuona unaleta nadharia tu
So kaa kwa kujifunza kabla hujaja na majibu ya jumla!
👍