kinetiq01
Member
- Aug 25, 2006
- 49
- 0
Hatimaye dada yetu Mona Lewis amekuwa-fired kwenye kipindi cha The Apprentice kinachorushwa na BBC ndani ya Uingereza. Billionaire Sir Alan Sugar ndiye mwendeshaji.
Ingawa binti amejitahidi tangu mwanzo, wiki hii ya nane amejikuta akitolewa kwenye shindano la kuwania ajira katika mojawapo ya makampuni ya Sir Allan - na kukosa fursa ya kulipwa takriban £ 100,000 kwa mwaka.
Katika assignment ya mwisho, alipinga wazo la kutumia mashoga kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha utalii. Mtizamo ni kwamba hiyo ilitosha kumwondoa, mlioona mnakubali "aliponzwa kwa kuwa na maadili mazuri"?
Machache kumhusu Mona, japo kwa kimombo:
Born in Karachi, former Tanzanian beauty-queen and stubborn mother-of-one Mona Lewis would love to have been the brains behind Tesco. She sees herself as shrewd and honest in business and believes that personal emotions should never interfere with decision making. Describing herself as an open-minded decision maker, Mona chose to apply for The Apprentice as a result of her desire to step out of her comfort zone and change the lives of herself and her son.
She says: "I knew I would be selected, not to sound big-headed... I've succeeded in the companies I've worked for because I work hard and I'm honest."

Last edited: