The Arab spring... Mageuzi ya utawala nchi za kiarabu

Honey K

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2008
Posts
629
Reaction score
72
Nini tunajifunza kutokana na kinachoendelea kwenye baadhi ya nchi za kiarabu hasa, Libya, Misri nk. Kabla ya mabadiliko ya tawala zao eg. Gadafi na kinachoendelea baada ya hayo mabadiliko...

Is the change we are seing for better?
 
we are not arabs and the whole context is different

Libya's Gaddafi alihakikisha kila mwananchi wake anapata japo basics, opur leadership (we na wenzako) mnaangalia mle vipi bila kujali kuna watu wa chini
 
Tunajifunza kuwa FUJO,MAUAJI YASIYOKOMA,WALIOTOLEWA KUTORIDHIKA NA KUENDELEA KWA HALI MBAYA ZAIDI KULIKO ILIVYOKUWA AWALI
 
Generally, waafrika hawajanufaika na uhuru walio pata kutoka kwa wakoloni. Hali hii imeongezeka kutokana na vijana kukosa ajira na huduma za kijamii na viongozi walio madarakani kushindwa kulitatua tatizo hili pengine kutokana na kuangalia zaidi maslahi binafsi.

Bahati mbaya kiu hii ya mabadiliko ya kiutawala imetekwa na nchi za magharibi ili kudumisha mifumo yao ya kiuchumi na kiulinzi. Matokeo yake ni vibaraka kuendelea kutawala kwa manufaa ya nchi za magharibi...
 
Nini tunajifunza kutokana na kinachoendelea kwenye baadhi ya nchi za kiarabu hasa, Libya, Misri nk. Kabla ya mabadiliko ya tawala zao eg. Gadafi na kinachoendelea baada ya hayo mabadiliko...

Is the change we are seing for better?

Nape,

Kama wewe Katibu Mwenezi unakuja na hoja hii mufilisi, basi CCM is dead. Hapa naona unafananisha Chenza na Limau, yote ni jamii moja lakini yana tofauti kubwa sana.

Kwanini hufananishi na Zambia, Malawi au Kenya?

Mfano wako wa Misri na Libya uko nje ya mstari kwa sababu zifuatazo:
1. Katika hizo nchi kulikuwa na vuguvugu la kutaka demokrasia lakini hakukuwa na vyama vya siasa ambavyo vipo.
2. Vyombo vya Ulinzi na Usalama vyote vilikuwa mali ya serikali na nikisema serikali, nina maanisha vinamsikiliza mtu mmoja, mfano Gadaffi.
3. Hakukuwa na maandalizi yoyote ya transition kutoka kwenye stage moja kwenda stage nyingine na hivyo mabadiliko yamekuja kwa nguvu, kwa kulazimisha. Kila kitu kilichokuwepo kilikuwa kimewekwa kwa mfumo wa kumlinda mtu mmoja na familia yake na marafiki zake.

Kwa vipengele hivyo 3 pamoja na vingine, kuna tofauti kubwa sana kati ya Egypt na Libya, na case ya nchi kama ya kwetu. Kwa hiyo kama una ndoto ya kwenda kuwatisha wananchi na huu uongo, naomba usiende kuutumia maana yaliyotokea Kenya yanaweza kutokea hapa.

Sasa nimeanza kuamini kwamba tuna tatizo kubwa sana, nyie vijana mnaopigiwa mfano kila siku kwamba mtaleta mabadiliko na kumbe mnapiga kampeni ya ku-maintain status quo! Unakuja na hoja za kizee kama za akina Wassira na Mkapa ambao kazi yao ni kujenga vitisho kwa wananchi na kuwatia woga ili waendelee kuichagua CCM. Hivi mnakosa hoja za maana za kuwaambia wananchi kwamba mtawafanyia mambo gani mazuri zaidi ya hivi vitisho?

Ukiona chama tawala kinatumia vitisho kama mtaji wake hiyo ni dalili tosha ya kuelekea kaburini. Ukishaanza kutumia vitisho, kwa wananchi maana yake hata demokrasia ndani ya chama nayo iko mashakani, watu wanabaki huko kwa woga au kulinda maslahi lakini si kwa sera au kuwatumikia wananchi. Si umeona Malawi, Mutharika amefariki na chama nacho kimefariki kwamba kulikuwa na wengi tu ambao walibaki huko kwa woga, maana ukitoka hawachelewi kukushughulikia.

Samahani nimeandika kwa jaziba, lakini hidden message ya Nape ni sumu mbaya kwa mtanzania yeyote yule awe ni mwana CCM au mpinzani! Kwa hiyo unataka kusema CCM ikishindwa uchaguzi itagoma kuondoka kwa sababu wakiondoka kutakuwa na instability? Kuna nchi ngapi ambazo vyama tawala vilivyokomboa nchi hizo vimeondoka madarakani kwa amani na hakukutokea instability yoyote kwanini uanze kutuwangia asubuhi asubuhi na kutuletea uchuro wa machafuko?

Sasa nimeamini kwamba joto la upinzani linaunguza akili za "think tank" wa chama tawala na sasa wanataka kuja na hoja za kutumia mabavu na vitisho ili ku-create fear kwa wananchi.

Kuna mtu ali-post kitu hapa JF akasema kwamba hata huo uvamizi wa mashamba huko Arumeru Mashariki inawezekana ni mbinu ya CCM katika kujenga hoja kwamba ukichagua upinzani utakuwa kama Arumeru Mashariki. Sasa niimeona connection kutoka kwa Katibu Mwenezi wa CCM ngazi ya Taifa!

Mungu ibariki Tanzania!
 
Sasa Nape unataka kufananisha siasa za waarabu na Tanzania? politically we are in different planets kutokana na tofauti za kiutamaduni, kiuchumi na kihistoria, hivo mwendo ni uleule M4C! usitake kutafuta huruma eti Libya na Misri hazijatulia baada ya mabadiliko.

Najua lazima uvutie kwako kwani kwa mfumo wa siasa zetu, unakunufaisha wewe binafsi. Kumbuka fadhila za ukuu wa wilaya baada ya kukosa ubunge na baadaye kuteuliwa kuwa mropokaji wa CCM. Hivi vyeo, usivyostahili, ilikuwa move ya kukubakisha usiende CCJ. Mnajifanya kuto utambua ukweli kwamba CCM hampendwi kwa % kubwa na tumewaambia mara nyingi kuwa mtaji wenu ni ujinga na umaskini wa watanzania.

Ivi unatuambia nini kama chini ya CCM wanyama hai wanasafirishwa kwenda nje, madini yanaondoka kila uchao bila ya kujua thamani halisi ya kinachoondoka, magogo yanasafirishwa kwenda nje kwa ujanjaujanja tu, mikataba ya madini, wizi na ubadhirifu katika wizara, idara na taasisi mbalimbali za umma? eti leo unataka tuogope yanayotokea libya ili nyie mwendelee kutumbua nchi yetu. Kawambie jamaa hawaelewi somo ila kung'oka kupo pale pale! ingawa hatuta waua kama libya ila mkono wa sheria lazima uwaandame!

Mungu ibariki Tanzania na walaani CCM & Co.
 
Kwanza nilichokiuliza hapa hakina uhusiano na hoja zako. NIMEULIZA TUNAJIFUNZA NINI KWA KILICHOTOKEA NA KINACHOENDELEA KUTOKEA KATIKA NCHI ZA KIARABU. Sasa mashairi ya chungwa na chenza hapa yanatoka wapi? Kuna wengine tuko nao humu najiuliza HIVI IMETOKEAJE MIE NA WAO TUKO JF PAMOJA??!!!!!

Inaonyesha jinsi ulivyohangaishwa na hesabu za kulinganisha wakati unasoma... Wapi katika maneno yangu au swali langu nimeongea habari ya mlinganisho??!!!! Nimeuliza tunajifunza nini, wewe unakurupuka na mlinganisho!!!!!..?!!
Msingi wa hoja yangu hapa ni KUWA TUNAJIFUNZA NINI KUTOKANA NA KILICHO NA KINACHOENDELEA KATIKA NCHI ZA KIARABU. NIKAONYESHA NJIA KWA KUULIZA JE MABADILIKO YALE YAMEZISAIDIA NCHI HIZO KWA MAANA YA KUBORESHA MAISHA YAO? Kama ndio how? Na kama hapana yamekosewa wapi!

Sasa Nape unataka kufananisha siasa za waarabu na Tanzania? politically we are in different planets kutokana na tofauti za kiutamaduni, kiuchumi na kihistoria, hivo mwendo ni uleule M4C! usitake kutafuta huruma eti Libya na Misri hazijatulia baada ya mabadiliko.

Najua lazima uvutie kwako kwani kwa mfumo wa siasa zetu, unakunufaisha wewe binafsi. Kumbuka fadhila za ukuu wa wilaya baada ya kukosa ubunge na baadaye kuteuliwa kuwa mropokaji wa CCM. Hivi vyeo, usivyostahili, ilikuwa move ya kukubakisha usiende CCJ. Mnajifanya kuto utambua ukweli kwamba CCM hampendwi kwa % kubwa na tumewaambia mara nyingi kuwa mtaji wenu ni ujinga na umaskini wa watanzania.

Ivi unatuambia nini kama chini ya CCM wanyama hai wanasafirishwa kwenda nje, madini yanaondoka kila uchao bila ya kujua thamani halisi ya kinachoondoka, magogo yanasafirishwa kwenda nje kwa ujanjaujanja tu, mikataba ya madini, wizi na ubadhirifu katika wizara, idara na taasisi mbalimbali za umma? eti leo unataka tuogope yanayotokea libya ili nyie mwendelee kutumbua nchi yetu. Kawambie jamaa hawaelewi somo ila kung'oka kupo pale pale! ingawa hatuta waua kama libya ila mkono wa sheria lazima uwaandame!

Mungu ibariki Tanzania na walaani CCM & Co.
 
Kwanza nilichokiuliza hapa hakina uhusiano na hoja zako. NIMEULIZA TUNAJIFUNZA NINI KWA KILICHOTOKEA NA KINACHOENDELEA KUTOKEA KATIKA NCHI ZA KIARABU. Sasa mashairi ya chungwa na chenza hapa yanatoka wapi? Kuna wengine tuko nao humu najiuliza HIVI IMETOKEAJE MIE NA WAO TUKO JF PAMOJA??!!!!!

Huwezi kujifunza kutoka kwa Libya na Egypt.

Funzo kwa watanzania linatakiwa litoke kwa nchi za Afrika ambako angalau tayari kulikuwa na demokrasia na siyo kutoka kwa total dictatorship ya waarabu ambao walikuwa hawajui hata vyama vingi ni nini. Ni sawa na uanze kutuletea stori za Iraq, Libya na Egypt, halafu useme tunajifunza nini?

Mbona huulizi tunajifunza nini kutoka kwenye uchaguzi wa juzi wa Senegal? Kama una nia njema ya kuuliza swali lako weka kitu ambacho kina mazingira sawa na Tanzania. Nyinyi ndio ambao mnakimbilia kwenda kujifunza mambo ya US wakati mambo ya US na Tanzania, ni sawa na giza na mwanga wala havikaribiani na matokeo yake kuliwa kila kukicha.
 
Nini tunajifunza kutokana na kinachoendelea kwenye baadhi ya nchi za kiarabu hasa, Libya, Misri nk. Kabla ya mabadiliko ya tawala zao eg. Gadafi na kinachoendelea baada ya hayo mabadiliko...

Is the change we are seing for better?

Vipi mmpona na ule ugonjwa wa "Chadema phobia"?

Tumejifunza kuingoa sisiem abao hawana tofauti na watawala wa kiaarabu, mf nepotism

Changes we are seeing is much better than being parmanently enslaved.
 
Nini tunajifunza kutokana na kinachoendelea kwenye baadhi ya nchi za kiarabu hasa, Libya, Misri nk. Kabla ya mabadiliko ya tawala zao eg. Gadafi na kinachoendelea baada ya hayo mabadiliko...

Is the change we are seing for better?

kwa nini usihoji kuhusu mabadiliko Ghana, Senegal, Ufaransa, UK, USA(baada ya Clinton). au kwa vile chama chenu kina mrengo wa OIC unadhani ndo kila mtu ana mawazo finyu.

jipange Mr. Vuvuzela.
 
Msingi wa hoja yangu hapa ni KUWA TUNAJIFUNZA NINI KUTOKANA NA KILICHO NA KINACHOENDELEA KATIKA NCHI ZA KIARABU. NIKAONYESHA NJIA KWA KUULIZA JE MABADILIKO YALE YAMEZISAIDIA NCHI HIZO KWA MAANA YA KUBORESHA MAISHA YAO? Kama ndio how? Na kama hapana yamekosewa wapi!

nchi yetu siyo memba wa OIC. so hatuna cha kujifunza kutoka Arabuni.
 
Kwanza nilichokiuliza hapa hakina uhusiano na hoja zako. NIMEULIZA TUNAJIFUNZA NINI KWA KILICHOTOKEA NA KINACHOENDELEA KUTOKEA KATIKA NCHI ZA KIARABU. Sasa mashairi ya chungwa na chenza hapa yanatoka wapi? Kuna wengine tuko nao humu najiuliza HIVI IMETOKEAJE MIE NA WAO TUKO JF PAMOJA??!!!!!
Mwaka 1995, mliwatisha Watanzania kwa kutumia mifano ya Rwanda na sasa mnapanga kutumia mifano ya Uarabuni! Nape, you are so transparent, cheap and empty that anybody can read you like the back of one's hand, pole sana...you can run but rest assured that people like you wont find a place to hide, no, not in our new Land of hope, Tanzania mpya come 2015!
 
Nape ni mnafiki sana. He deserves to be hanged publically 2015!
 
Back
Top Bottom