The army must overthrow President Ruto

The army must overthrow President Ruto

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
The best solution in Kenya is for the army to overthrow Ruto and form a coalition Goverment
 
Una akili kweli??.

Sasa Kwa stahili hiiii ,kitakua na Serikali??.

Yaan ikishaingia Madarakani, Wapinzani waitishe maandamo, Jeshi likupindue.

Ukishaingia wee, Wapinzani wako waitishe maandamo, Jeshi likupindue [emoji38][emoji38][emoji38]

Duuuuh
akili ninazo
 
jeshi lipindue nchi na kuweka serikali ya muda
 
serikali imeshindwa dawa ni kupinduliwa
 
the best solution in kenya is for the army to overthrow ruto and form a coalition goverment
Hilo halitakuwa Taifa yaani kila mkijisikia tu Rais atoke Jeshi Limtoe
Kha! Kama kuna mambo ya msingi kuzungumziwa Yazungumzwe Hivi huyo Ruto kaingia Juzi tu Walitaka Afanyaje Kenya?
 
kaingia kwa wizi wa kura
 
Zamani nikiwa mdogo nilidhani wakenya wanaakili sana Kwa sababu wanajua kuongea Kingereza baada ya Magufuli kuingia madarakani nikagundua kuwa wakenya ni wengi ni wapumbavu .

Jeshi lipindue nchi halafu unategemea wataiacha Ikulu.

Acheni Raila atawale muda wake ukiisha uchaguzi ufanyike wananchi ndio wataamua .

Raila amechaguliwa kihalali na kuapishwa baada ya mahakama kuthibitisha kuwa alishinda.

Ni upumbavu kudhani kuwa Ruto yeye Hana watu wanaoweza kuandamana .

Hivi Kwa mfano Raila afanikiwe kumtoa Ruto Kwa maandamano halafu Ruto naye aandamane Kupinga mwisho itakua ni Nini?

Nchi itakua kila siku ni kutoana madarakani Kwa maandamano .

Jeshi linatakiwa Lilinde heshima na hadhi ya nchi na Rais wake kama wanavyofanya Marekani ,Urusi, China, Korea, (Uingereza na malikia au mfalme wake mchovu[emoji1787] ) nk lakini sio kupindua nchi Kwa sababu ya mtu mmoja aliyeshindwa kwenye uchaguzi Juzi TU hata mwaka haujaisha .
 
jeshi lipindue nchi na kuweka serikali ya muda
Hakuna kitu kama hicho. Jeshi Haliwezi kupindua nchi Kwa sababu Ruto hajavunja katiba ya nchi .

Raila Hana sababu yoyote ya Msingi ya kuandamana . Anatakiwa adhubitiwe ikiwezekana apigwe na kitu kitizito. Mtu mmoja hawezi kuvuruga nchi.

Jeshi likipindua nchi ni mkosi mkubwa sana . Wanaweza wasitoke madarakani Tena kwani watona utamu wa madaraka na kukalia Ikulu Moja Kwa Moja . Nchi itaingia kwenye machafuko.

Kama Raila anaona Ruto ameshindwa kutawala basi ndio vizuri ili uchaguzi ujao amshinde . Sasa anatakaje kutumia mapinduzi wakati nchi ni ya kidemolrasia na yeye anapigania Demokrasia .
 
Njia Bora ni wakenya kukubaliana kwamba hawawezi kukaa pamoja Kama ilivyokua kati ya Sudan na South Sudan, wagawe hiyo nchi.
 
Zamani nikiwa mdogo nilidhani wakenya wanaakili sana Kwa sababu wanajua kuongea Kingereza baada ya Magufuli kuingia madarakani nikagundua kuwa wakenya ni wengi ni wapumbavu .

Jeshi lipindue nchi halafu unategemea wataiacha Ikulu.

Acheni Raila atawale muda wake ukiisha uchaguzi ufanyike wananchi ndio wataamua .

Raila amechaguliwa kihalali na kuapishwa baada ya mahakama kuthibitisha kuwa alishinda.

Ni upumbavu kudhani kuwa Ruto yeye Hana watu wanaoweza kuandamana .

Hivi Kwa mfano Raila afanikiwe kumtoa Ruto Kwa maandamano halafu Ruto naye aandamane Kupinga mwisho itakua ni Nini?

Nchi itakua kila siku ni kutoana madarakani Kwa maandamano .

Jeshi linatakiwa Lilinde heshima na hadhi ya nchi na Rais wake kama wanavyofanya Marekani ,Urusi, China, Korea, (Uingereza na malikia au mfalme wake mchovu[emoji1787] ) nk lakini sio kupindua nchi Kwa sababu ya mtu mmoja aliyeshindwa kwenye uchaguzi Juzi TU hata mwaka haujaisha .
Server ifunguliwe, yote yataisha
 
The best solution in Kenya is for the army to overthrow Ruto and form a coalition Goverment
.
20230412_210639.jpg
 
Back
Top Bottom